Thelonious
JF-Expert Member
- Dec 11, 2017
- 218
- 452
Thanks brenda18Thelonious,
Nenda ofisi za falcon kariakoo utawapata ila wanaoelekea harare hakuna buses straight to botswana au namibia au Angola ila wakifika harare wanawapa madereva wanaoelekea huko
Changamoto risk ya mzigo kupotea ni kubwa maana unapita mikononi kwa watu wengi
Ushari tafuta madereva wa malori
Nadhani utakuwa umeshafika mkuu.
Bongo to nchi nilizotaja.Unataka kusafirisha kutoka wapi to wapi?
Asante mkuu naenda sasa kuulizia.Kama unataka kusafirisha kutoka South Africa tumia maroli ya True Cape huwa yanakuja Dar kuleta Apples kutoka South Africa.
Namna ya kuwapa madereva nenda pale Mivinjeni karibu na Car wash ya Babuu Shebuu kuna kibanda cha hao jamaa wa True Cape wakuunganishe na madereva hii ni uhakika unatumia gari moja tu.