Msaada: Kwa madereva wanaosafirisha mizigo nchi za Afrika Kusini, Botswana, Namibia, Angola nk

Thelonious

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2017
Posts
218
Reaction score
452
Wakuu husikeni na mada tajwa hapo juu. Mimi shida yangu natafuta dereva wa gari, lori anayeenda hayo masafa nina kamzigo kangu.

Charges tutaelewana tukishakutana PM.

Pia kama wamjua mmoja asiyekuwepo humu JF unaweza kunirecommend utakuwa umenisaidia sana.

Natanguliza shukrani.
 
Kama utakosa sogea pale kidongo chekundu, bandari karibu na high way ya kigamboni na hata buguruni jirani na azam media, maroli ya masafa hayo utakuta au unauliza madereva wake.

Ukishindwa waone mabasi ya Falcon pale Kariakoo nyuma ya jengo la azam ice cream.
 
Ukimpata mkuu ni pm namba na mimi niongee nao. Mimi sina mzigo wa kutuma ila kuna mzigo wangu wa kuleta Bongo kutoka either Botswana au South Africa@Thelonious,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thelonious,

Nenda ofisi za falcon kariakoo utawapata ila wanaoelekea harare hakuna buses straight to botswana au namibia au Angola ila wakifika harare wanawapa madereva wanaoelekea huko
Changamoto risk ya mzigo kupotea ni kubwa maana unapita mikononi kwa watu wengi
Ushari tafuta madereva wa malori
 
Unataka kusafirisha kutoka wapi to wapi?
 
Kama unataka kusafirisha kutoka South Africa tumia maroli ya True Cape huwa yanakuja Dar kuleta Apples kutoka South Africa.

Namna ya kuwapa madereva nenda pale Mivinjeni karibu na Car wash ya Babuu Shebuu kuna kibanda cha hao jamaa wa True Cape wakuunganishe na madereva hii ni uhakika unatumia gari moja tu.
 
Thelonious,

Nenda ofisi za falcon kariakoo utawapata ila wanaoelekea harare hakuna buses straight to botswana au namibia au Angola ila wakifika harare wanawapa madereva wanaoelekea huko
Changamoto risk ya mzigo kupotea ni kubwa maana unapita mikononi kwa watu wengi
Ushari tafuta madereva wa malori
Thanks brenda18

Ninahitaji madereva wa malori ili kuepusha mikono mingi.
 
Kama unataka kusafirisha kutoka South Africa tumia maroli ya True Cape huwa yanakuja Dar kuleta Apples kutoka South Africa.

Namna ya kuwapa madereva nenda pale Mivinjeni karibu na Car wash ya Babuu Shebuu kuna kibanda cha hao jamaa wa True Cape wakuunganishe na madereva hii ni uhakika unatumia gari moja tu.
Asante mkuu naenda sasa kuulizia.
 
Back
Top Bottom