Msaada kwa mama wa kambo

Msaada kwa mama wa kambo

Nsendo

Member
Joined
Oct 5, 2011
Posts
9
Reaction score
0
Habari zenu wana jf,naomba kujuzwa unapolea mtoto wa mwanamme mawasiliano ya maendeleo ya huyu mtoto yawe yanapitia kwa huyu mama wa kambo au wawasiliane wenyewe?
 
Ni bora wawasiliane wao wenyewe.
 
wao wenyewe huku akihakikisha na wewe ukishirikishwa kwa kuambiwa.
 
Maranyingi watoto hupitisha shida zao kwa mama. This comes naturally. kutegemea ukaribu na upendo walionao wazazi hili laweza kubadilika kama baba anajali zaidi. Mtoto wa mume wako ni mtoto wenu na hastahili kubaguliwa kwa lolote lile.
 
Asante kwa mawazo ila mawasiliano ninayoulizia hapa ni juu ya biological mama kuulizia mwanae anaendeleaje huku ugenini amuulize mzazi mwenzie yaani baba watoto au mama wa kambo?
 
Back
Top Bottom