Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wana jf,naomba kujuzwa unapolea mtoto wa mwanamme mawasiliano ya maendeleo ya huyu mtoto yawe yanapitia kwa huyu mama wa kambo au wawasiliane wenyewe?
Asante kwa mawazo ila mawasiliano ninayoulizia hapa ni juu ya biological mama kuulizia mwanae anaendeleaje huku ugenini amuulize mzazi mwenzie yaani baba watoto au mama wa kambo?Maranyingi watoto hupitisha shida zao kwa mama. This comes naturally. kutegemea ukaribu na upendo walionao wazazi hili laweza kubadilika kama baba anajali zaidi. Mtoto wa mume wako ni mtoto wenu na hastahili kubaguliwa kwa lolote lile.