Msaada kwa mjamzito

Msaada kwa mjamzito

mimi05

Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
46
Reaction score
3
Naombeni ushauri kwa rafiki yangu mjamzito kwani anapata maumivu ya kichwa mara kwa mara, ni nini anaweza kutumia mbali na dawa za hospital?
 
Ameshaenda hospitali au unatafuta dawa mbadala wakati hata tatizo halijajulikana vizuri? Mpeleke kwanza hospitali yawezekana ana malaria kali na hamkutibu vizuri hiyo malaria toka hapo sasa ndo uje uombe ushauri hapa jf!
 
Asanteni sana ndugu zangu kwa ushauri,hata nilimshauri aende hospitali naona ataenda leo.Mungu awabariki.
 
Back
Top Bottom