Msaada kwa mkaka

Like pulling an OJ Simpson? Hahaaa u better be careful coz you may not be as lucky and end up in the slammer for the rest of your life without the possibility of parole...

....huh! Never!....my revenge is always sweet....bila harufu ya damu wala nini "Vulture is a patient bird!"
 

...mmnh, wanawake wa miaka hii!
 
Huyo mwizi damu yake itakuwa yake tu, atulie atunze nyumba yake asimuharibie huyo waliye zaanae, kwanza alisha fanya kosa na sio sifa, Eti ndugu wanataka kumfahamu! yanawahusu nini? Wao inatosha kujua tu kwamba kuna mtoto, hawanajema hao wanataka kumuharibia tu hamna chochote hapo! Na huyo aliyezaa asirogwe kumuambia mume kwa sasa kama anaipenda ndoa yake. ila kama amechoka aropoke, Let the nature decide..
 
Inaonyesha mdada na ndugu zake wanajua mchoro wote na kama sikosei wako happy ila wanaogopa kuvuruga ndoa ya huyu dada. Kwanza Kitanda hakizai haramu, hivyo mwizi alie tu. Otherwise dada aite ndugu zake wakiri kwa jamaa na wawe tayari kuvunja mahusiano na kumwezesha huyo dada kuendelea na mahusiano anayoyapenda, maana inaonyesa yuko karibu saaana na huyo mwizi
 
....huh! Never!....my revenge is always sweet....bila harufu ya damu wala nini "Vulture is a patient bird!"

Hey come on, you've to give up revenge..mana inasababisha mashindano yasiyo ya lazima..utakufa kwa BP kama siyo Shell bure🙂)
 
Reactions: Mbu
Mh,jamani ! wote wakawaone viongozi wao wa dini,waweke wazi uozo wao,watubu na kumrudia MUNGU.
 
Ila jamani tuende mbele na kurudi nyuma watu tumekua wakali kweli kweli, ila tujiulize ni hao tu ndio wazinzi? tukishapata majibu tujifunze kutokana na hili

Sasa wewe Maty fikiri mtu kaiba halafu anajua huyu Maty ni mke wa Eka Mangi. Hilo lilistahili kuwa kosa tena ilitakiwa huyo bwana akae kimya kabisa. Akipita huko barabarani akikutana na huyo mtoto ampe soda bila kusema kitu. Bila aibu eti anataka mtoto wake! Nyambafu! Sema jamaa alomegewa mkewe naye hajajua tu! Yaani na mimi navuta namega mpaka natotoa na mimi labda ukute mazao huwa hayaoti kwenye hili shamba!
 
<p>
baada ya wazazi wa mdada kujua waliazimia kufanya siri kwa pamoja na mtoto ni kafanana na mamake .
</p>
<p>&nbsp;</p>


hapo ndio wanaume wajue sio kila familia yakuoa, inawezekana huyo mwanamke alishawahi kumpeleka huyo mwanaumemwizi kwenye familia yao nawakawa wanamsapoti bila shida angali wanajua anamume wake
 
tatizo la wanaume ukiwalegezea,ukawa mnyonge wanakukalia kichwani....so selfish creatures....anajua mkewe atamuelewa na hata mbele ya jamii ataeleweka kwa kiasi,kimbembe ni mwanamke......mimi kweli sikubali,kwanza kwanini alimuambia mtoto ni wake?mwanamme wake si rijali au??pumbavu sana huyo mwanamke,anaenda kupanua huko na kutukuza mume wa nje na kumpa credit wewe ndo baba mtoto,kwa kashaonyesha unyonge tangu mwanzo akubali tu kuwa muwazi amuambie mumewe.....moshi ushaanza kuashiria kuna moto.....:smash:
 
Kwa hiyo mmekonkludi nini> Mi nataka nkalale bana!:focus:
 
 
Hamjambo wapendwa wote mliochangia hii kesi ya kabambe? Nawashukuru sana nimebeba mawazo yenu ntayafikisha leo. Kwa ujumla nimepata categories tatu za ushauri. Mbarikiwe sana. JF idumu.
 
Natamani sana kama tungekuwa na utashi wa kujaribu kuforecast yatakayojiri iwapo tunachotaka kukifanya kitabackfire kabla hatujaamua kufanya tuyafanyayo. Wengi huwa tunajidanganya kuwa tutakuwa waangalifu na kuchukua tahadhari tunajisahau kuwa YOU CAN NOT BE TOO CAREFUL because you are human being. Hizi kesi za hivi zimekuwa zikiongezeka kila uchao nashindwa kuwaza nabaki nasikitika tu. Kudokoa hakuwatoshi mpaka walambe na sahani?

Simlaumu sana kaka kwa kumdai mwanae, ni damu yake na binadamu siku zote hata awe masikini vipi huwezimdhulumu kile anachofahamu fika kuwa ni mali yake, kina dada tusijidanganye kuwa kwa kuwa ana ndoa yake so atahofia kuivunja kwa kumpeleka mtoto uliyezaa naye. Tufunguke akili zetu jamani, we umeolewa (sitaki kukuhukumu kwa kosa la kutoka nje ya ndoa yako- maana ni kosa na walijua ni kosa but u mtu mzima na kwa utashi wako umeamua kuvinjari nje kwa kuwa tu AC ya ndani imekuchosha wataka upepo wa nje) utabebaje mimba ya mwanaume wa nje? Au kama ilikuwa ni bahati mbaya na umeamua kuzaa ya nini kumweleza kuwa ni yake? Subiri matokeo.

Ah mie nachoka kabisa. Ni sawa na mdada ambaye ana mchumba wake kisha kwa bahati mbaya akapata mimba ambayo hakuitarajia na haitaki, kisha huyooooo akatoka kwenda kwa mchumba wake na kumwambia nina mimba yako but naendaitoa..........sasa kulikuwa na haja gani kumwambia kuwa unayo??
 
......... Au kama ilikuwa ni bahati mbaya na umeamua kuzaa ya nini kumweleza kuwa ni yake?........

MJ1 salute.....sasa mbona unasahau ile sheria ya mtoto wa nje anakua 'coloured copy'? Believe it....mwenye mtoto atajua tu....kwa njia yoyote! Au utaumbuka tu....kama kisa cha 'mixed race' (nishazoea kuwaita hafu kasti)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…