tatizo la wanaume ukiwalegezea,ukawa mnyonge wanakukalia kichwani....so selfish creatures....anajua mkewe atamuelewa na hata mbele ya jamii ataeleweka kwa kiasi,kimbembe ni mwanamke......mimi kweli sikubali,kwanza kwanini alimuambia mtoto ni wake?mwanamme wake si rijali au??pumbavu sana huyo mwanamke,anaenda kupanua huko na kutukuza mume wa nje na kumpa credit wewe ndo baba mtoto,kwa kashaonyesha unyonge tangu mwanzo akubali tu kuwa muwazi amuambie mumewe.....moshi ushaanza kuashiria kuna moto.....:smash:
Anaonyesha ni jinsi gani alimpenda huyo mme mwizi na leo hii anaomba ushauri. Kweli hizi ndoa zingine ni matatizo matupu, kwa kuvua nguo tu nje ya ndoa ni kumzalilisha mwenzi wako, je kuzaa nje ya ndoa?. Ni kama vile amemvua mmewe nguo japo mmewe anajiona kavaa kwa vile hajui. Sasa hapo mme mwizi anaona sifa na kumbeza mwenye mke aliyeibwa. Ayanywe maana aliyakologa.