MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Ndio maana nikasema asubiri matokeo mydia kwa sababu kwa kesi hii hiyo colored copy haikuwa (ama sivyo si mume halali angejua?) ........Angejikalia kimya huyu mama na kuomba MUNGU (sijui hata kama huwa anasikiaga sala za hivi) mtoto akizaliwa afanane na yeye!MJ1 salute.....sasa mbona unasahau ile sheria ya mtoto wa nje anakua 'coloured copy'? Believe it....mwenye mtoto atajua tu....kwa njia yoyote! Au utaumbuka tu....kama kisa cha 'mixed race' (nishazoea kuwaita hafu kasti)
MJ1 salute.....sasa mbona unasahau ile sheria ya mtoto wa nje anakua 'coloured copy'? Believe it....mwenye mtoto atajua tu....kwa njia yoyote! Au utaumbuka tu....kama kisa cha 'mixed race' (nishazoea kuwaita hafu kasti)
Natamani sana kama tungekuwa na utashi wa kujaribu kuforecast yatakayojiri iwapo tunachotaka kukifanya kitabackfire kabla hatujaamua kufanya tuyafanyayo. Wengi huwa tunajidanganya kuwa tutakuwa waangalifu na kuchukua tahadhari tunajisahau kuwa YOU CAN NOT BE TOO CAREFUL because you are human being. Hizi kesi za hivi zimekuwa zikiongezeka kila uchao nashindwa kuwaza nabaki nasikitika tu. Kudokoa hakuwatoshi mpaka walambe na sahani?
Simlaumu sana kaka kwa kumdai mwanae, ni damu yake na binadamu siku zote hata awe masikini vipi huwezimdhulumu kile anachofahamu fika kuwa ni mali yake, kina dada tusijidanganye kuwa kwa kuwa ana ndoa yake so atahofia kuivunja kwa kumpeleka mtoto uliyezaa naye. Tufunguke akili zetu jamani, we umeolewa (sitaki kukuhukumu kwa kosa la kutoka nje ya ndoa yako- maana ni kosa na walijua ni kosa but u mtu mzima na kwa utashi wako umeamua kuvinjari nje kwa kuwa tu AC ya ndani imekuchosha wataka upepo wa nje) utabebaje mimba ya mwanaume wa nje? Au kama ilikuwa ni bahati mbaya na umeamua kuzaa ya nini kumweleza kuwa ni yake? Subiri matokeo.
Ah mie nachoka kabisa. Ni sawa na mdada ambaye ana mchumba wake kisha kwa bahati mbaya akapata mimba ambayo hakuitarajia na haitaki, kisha huyooooo akatoka kwenda kwa mchumba wake na kumwambia nina mimba yako but naendaitoa..........sasa kulikuwa na haja gani kumwambia kuwa unayo??
Kuna kesi inaendelea mahakamani inafanana na kisa hiki." MWIZI" ANASHTAKI AWE NA HAKI NA MTOTO ATAKAYEZALIWA MAANA HAPO NI MIMBA TU HAJAZALIWA MTOTO! Mume na mke wanapinga vikali!
Usiombe uone visa kama hivi. Wakitoka mahakamani, mwizi anenda kivyake, mume na mke wanaenda nyumbani.Huko nyumbani kunawaka moto!
Kesi nyingine, mume alisafiri aliporudi akakuta mkewe yuko maternity leave na anayemlea ni mama mkwe - mama wa mwanaume ( mume)! Aliyemzalisha ni mdogo mtu! Mume alichokifanya ni kumchukua mkewe wakaondoka wakaenda kuishi sehemu nyingine na mama ( bibi wa mtoto) akabaki na mtoto!
Stay tuned.
Kwenye hili, ingekuwa ni mimi, ningedai talaka upesi sana maana mume akijua ni mauaji au masimango yasiyosemekana.
hapa atajuaje? kwa kumuangalia kwa macho au? "mtoto kafanana na shangazi wa tukuyu/mjomba wa njoro/pua ya babu yake mzaa baba"...labda awe huo mseto...vinginevyo hii ndoa ingedumu milele...
...eehh, Mapya. Huyo mume wa jirani yako aliipokeaje/aliichukuliaje?
I hope hapakutokea kishindo cha mateke na magumi.
ingekuwa wewe ungefanyaje
Jaribu halafu ulete stori za pua ya babu uone moto wake...:A S 13:
...mmnh, wanawake wa miaka hii!
as nyamayao cwez kujaribu mambo ya hivyo but hapo hakuna mtu atakaenilazimisha kwamba mtoto wangu kafanana na RR wakati mwanangu ni wa mume wangu ila kafanana na shangazi wa ugweno..wewe hapo RR huambiwi ukweli wowote kwamba rafu ye2 imezaa matunda bali nikijua tu nimedaka nakukatisha kiuhusiano then natulia nalea mimba nikishirikiana na mr wangu( achia mbali chotara) kila kitu kwenye lyfe kinawezekana ukijipanga na sio kukurupuka.
Hamjambo wapendwa, hope wote mmeamka bien, kwa wagonjwa na matatizo mbalimbali poleni. Leo nimepata kisa kimenitatiza kidogo naomba kushare nanyi wapendwa tumsaidie huyu ndugu. Huyu mkaka amezaa na mke wa mtu bila mume kujua na wote wanaendelea kumtunza mtoto sasa ana umri wa miaka mitano. Tatizo mdada anaogopa kusema ukweli kulinda ndoa yake, na mkaka (mwizi) anataka atambulike kwa mwanae japo na yeye ana mke.Mke wa mwizi keshaelezwa kuna mtoto nje kakubaliana na hilo japo hajui ni wapi/ kwa nani. Na familia ya mdada inajua kila kitu.Familia ya kiume na mke wa mwizi imekomaa inataka kumuona huyo mtoto. Mume wa dada hana ajualo. Nisaidieni kaka aanzie wapi, na familia ya mkaka mwizi na mdada ni marafiki toka udogoni..
Nawasilisha.