Kuna kesi inaendelea mahakamani inafanana na kisa hiki." MWIZI" ANASHTAKI AWE NA HAKI NA MTOTO ATAKAYEZALIWA MAANA HAPO NI MIMBA TU HAJAZALIWA MTOTO! Mume na mke wanapinga vikali!
Usiombe uone visa kama hivi. Wakitoka mahakamani, mwizi anenda kivyake, mume na mke wanaenda nyumbani.Huko nyumbani kunawaka moto!
Kesi nyingine, mume alisafiri aliporudi akakuta mkewe yuko maternity leave na anayemlea ni mama mkwe - mama wa mwanaume ( mume)! Aliyemzalisha ni mdogo mtu! Mume alichokifanya ni kumchukua mkewe wakaondoka wakaenda kuishi sehemu nyingine na mama ( bibi wa mtoto) akabaki na mtoto!
Stay tuned.
Kwenye hili, ingekuwa ni mimi, ningedai talaka upesi sana maana mume akijua ni mauaji au masimango yasiyosemekana.