Msaada kwa mkaka

Mwambie kama anataka mwanawe ajue kuwa huyo anae ishi nae sio baba akubali kuutwika mzigo atakapo pigwa talaka.
Akubali kabisa pasipo kipingamizi dili likitibuka amtafutie hifadhi kabisa.
Ila wanawake huwa mnakuwa na akili za ajabu sana wewe mke wa mtu unalitamani janaume la mtu unalikabidhi roho na mapafu linakuzalisha na wewe unakubali kwa kuneng'eneka ukijua lijamaa linakupenda subiri utangwe talaka hapo utajua sura za wanaume zilivyo na utajua kuwa sura sio roho. Litakufungia vioo kama halikujui vile.
 
Za mwizi arobaini🙂 hamna cha kusaidia hapo acha waumbuke tu shosty!!..mke mwizi anaweza kuambulia talaka..huyo mume mwizi naona yeye kashasalenda kwa mkewe.. mwizi+mwizi=aibu!!
 
Mambo mengine yakujitakia tu utafanyaje mapenzi nje ya ndoa mpaka mimba??? Atajibeba

Huyo mwanamke aliye beba mimba na kuzaa huyo mtoto wa miaka 5 natamani nimdunde kanitia kichefu chefu.

Kama aliona tamu si bora angekuwa anajiexpress tu na asingepata mimba kama wanavyo fanya wanawake wajanja.
 
Reactions: Mbu

Renegade asante kwa mchango wako mzuri , tatizo mkaka anadai huyo mtoto ni wa kiume na kwake hana kiume. Na anaona muda unavyozidi ndio mambo yatazidi kuwa mabaya.
 
Za mwizi arobaini🙂 hamna cha kusaidia hapo acha waumbuke tu shosty!!..mke mwizi anaweza kuambulia talaka..huyo mume mwizi naona yeye kashasalenda kwa mkewe.. mwizi+mwizi=aibu!!
hi honey.....
 
eeh! mnh! ee hee!
Balaa!...

Hapa "na mkoma nyani Giladi" kwenye kesi hii huku namtazama usoni!
Kwanza, Hao wazinifu wote ni wakatili, hawastahiki msamaha wao wa kinafiki
kwenye ndoa zao.

Pili, ni wakatili kwa maslahi na maisha ya huyo Mtoto. Tamaa za miili yao na ubinafsi wao
wanataka sasa kupeleka maafa na irreparrable psychological damage kwenye akili
kwa huyo 'Malaika wa mwenyezi Mungu' na baba yake 'pekee' anayemjua.

Hapana, They have no right to do it! Wamwambie ukweli Mume wa dada,
lakini mtoto wasimwambie.
It is too early!!!
 
Huyo mwanamke aliye beba mimba na kuzaa huyo mtoto wa miaka 5 natamani nimdunde kanitia kichefu chefu.

Kama aliona tamu si bora angekuwa anajiexpress tu na asingepata mimba kama wanavyo fanya wanawake wajanja.

Nidai castle light mbili sawa????
 
Renegade asante kwa mchango wako mzuri , tatizo mkaka anadai huyo mtoto ni wa kiume na kwake hana kiume. Na anaona muda unavyozidi ndio mambo yatazidi kuwa mabaya.

... e bana ee, hakuna cha kujustify uzinifu wake, huyu jamaa vipi? duh! ananitia hasira sana aisee...busara zangu zinapungua kwenye kesi hii. Aache kuzungumza pumba bana. Binafsi naskia harufu ya damu kwenye kesi hii...This is not right!
 
Renegade asante kwa mchango wako mzuri , tatizo mkaka anadai huyo mtoto ni wa kiume na kwake hana kiume. Na anaona muda unavyozidi ndio mambo yatazidi kuwa mabaya.
Kumbe tatizo ni jinsia ya mtoto ndio maana jamaa anamng'ang'ania mtoto!!
 
mbona mkaka tu ndo anaitwa mwizi kwenye hii post? huu ni ubaguzi wa kijinsia.

ushauri zaidi nitatoa baadae.

...kabisa bana!

...haya sasa, kuna wanawake wakatili sana duniani!

Mume B*w*e*g*e*!

...usitukane mamba kabla hujavuka mto, Ombea yakupitie mbali haya...
utakuja kutulilia hapa! Kwani hawa kina baba walipenda haya?
 
... e bana ee, hakuna cha kujustify uzinifu wake, huyu jamaa vipi? duh! ananitia hasira sana aisee...busara zangu zinapungua kwenye kesi hii. Aache kuzungumza pumba bana. Binafsi naskia harufu ya damu kwenye kesi hii...This is not right!

Mbu acha kabisa kibaya dada ndoani ana watoto 4 plus huyu wa mkaka. Sa hizi ana kachanga 5 months.
 
kuna watu wanapenda matatizo kwenye maisha haya jamani, yaani wanaumba tabu kwa makusudi kabisa, kulikuwa na ulazima gani huyo dada alipata hiyo mimba na kumweleza huyo kaka kwamba ni yake?...c ameolewa yeye sasa alishindwa hata kuhic madhara ya mbeleni?kuna wanawake manunda mpaka bac...ndio kila cku nasema jamani sio kila kitu cha kumshirikisha mume/mpenzi wako, angalia na kesho kitaku cost vipi.
 
Naomba nimuulize mtoa mada...

Huyu malaya wa kiume (wu enamwita kaka mwizi), alipima DNA kujihakikishia kuwa huyu mtoto aliyezaliwa na huyo changudoa aliyeolewa ni wake?
 
Naomba nimuulize mtoa mada...

Huyu malaya wa kiume (wu enamwita kaka mwizi), alipima DNA kujihakikishia kuwa huyu mtoto aliyezaliwa na huyo changudoa aliyeolewa ni wake?

Hapo sasa malaya wa kiume+changudoa aliyeolewa unapata nini??? ha ha
Kuna watu wanapenda shida zinazoepukika kabisa duniani...wakome na jamii iwasute hiyo mijizi miwili iliyolewa na kuoa!!
 
Naomba nimuulize mtoa mada...

Huyu malaya wa kiume (wu enamwita kaka mwizi), alipima DNA kujihakikishia kuwa huyu mtoto aliyezaliwa na huyo changudoa aliyeolewa ni wake?

ngoja nimuulize , ntarudi. Ila mdada anafahu mapito yake.
 
Mbu acha kabisa kibaya dada ndoani ana watoto 4 plus huyu wa mkaka. Sa hizi ana kachanga 5 months.

...haya ona sasa? Mume mtu akijua haki ya nani hataamini mtoto wake yeyote.
Hii ndio ile ninayoita irreparable psychological torture!
Haikubaliki!

Naomba nimuulize mtoa mada...

Huyu malaya wa kiume (wu enamwita kaka mwizi), alipima DNA kujihakikishia kuwa huyu mtoto aliyezaliwa na huyo changudoa aliyeolewa ni wake?

...haha, hili 'skendeli' limeku touch mkuu! Tupeane pole.
 
mie ishu yangu kubwa na huyu dada ni kwamba alishindwa kusoma alama za nyakati, kulikuwa na ulazima gani kumwambia huyo mwizi mwenzie kwamba mimba ni yake?
 
Hapo sasa malaya wa kiume+changudoa aliyeolewa unapata nini??? ha ha
Kuna watu wanapenda shida zinazoepukika kabisa duniani...wakome na jamii iwasute hiyo mijizi miwili iliyolewa na kuoa!!

Hahhaha

Unajua chanzo cha cheating kwenye ndoa?..............Ni kimoja tu: Pale Malaya wa kiume anapooa na changudoa wa kike anapoolewa!

Hatari sana hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…