Msaada kwa mkaka

....mnh! Nyamayao, wanawake wengi husema "ukweli" linapokuja suala hili.
Wengine hufikia hata kuwaambia"ukweli" wanaume wengine wawili - watatu iwapo
hana uhakika ni yupi 'aliyetumbukiza mpira kimiani.'

na ujinga wao...kwa mie ambae napenda kufikisha 50+ bila wrinkles za kujitakia kama uongo ukweli(sio ule uliopinda pinda, uongo wa kudumu) unaweza kunisaidia bac ctacta kuusema.
 
Sasa BJ unacheka nini wakati wenzako huko wanazalishana...mme wa mtu kwa mke wa mtu......Damn! Hivi nani katenda kosa kubwa zaidi hapo?

Aisee wote wamechemsha Asprin, ni kwamba jizi dume limewahi kwa mkewe kwahiyo kwenye mji wake shwari sasa..tatizo kubwa kwa jizi la kike mana nakwambia ni ngumu sana mumewe kumsamehe kwa niwaelewavyo wanaume!!..atakosa wote, mume na jizi dume!!
 

...Pheeewwww! BelindaJacob hizo "mwizi" zilivyoongozana, lol!
kila mtu ana haki ya kusikilizwa bana.
"Innocent Until Proven Guilty in the court of Law!" ....Chetuntu kaenda kutuchukulia majibu ya DNA itatujibia hili.
Kesi hizi, mara unakuta watoto wote si wa huyo Mume,...bunduki yake haina risasi.
mama aliamua kumsaidia mume kufichia aibu/kuondoa kero za mawifi!...:A S embarassed:

yaani kaka wacha tu, kuna watu akili zao zimelegea kama nyanya za nyongeza, inaudhi kweli....miso u kwa sana tu my broda.

...ha ha, eti nyanya za nyongeza. Kama nakuona mwenyewe na kisadolini chako! LOL
 

hilo ndio linalonikera...yeye kafanya 1+1=11....watu kama hawa wanatakiwa dunia iwafunze/iwatandike coz hawajitambui kabisa kabisa, y dunia icwachape?...talaka mbele na alivyo na mlolongo wa watoto na ukute hajajipanga kimaisha....haaa yaani mpuuzi kweli angekuwa karibu yangu ningemtwanga kelebu akili yake ya maziwa mgando igeuke kuwa maziwa fresh.
 
yaani kaka wacha tu, kuna watu akili zao zimelegea kama nyanya za nyongeza, inaudhi kweli....miso u kwa sana tu my broda.

Shosty, kama sikosei hizi wanaziita masala/masalo..ha ha umenichekesha kweli kwa msemo wako!!..mtu unacheat hadi mimba na kuzaa na kiherehere cha kumwambia mwizi mwenzio??! kweli kazidi!!
 


Mkuu, ushauri ni mzuri ila muafaka ni maajaliwa
Yaani sijui kama kweli hizo ndoa zitabaki kama zilivyo baada ya kila kitu kujulikana . . . .
Nguumu sana
 

Kudadadeki...

Yaani kale kamatesha navokamaindi na navokagharamia afu lije litokee lijitu liseme eti ni mwanaye............afu liwaifu linihakikishie kuwa ni kweli liliteleza bahati mbaya likampanulia upaja tarehe za kunasa.

1. Lianaume na liwaifu yatakuwa kwenye foleni ya kuingia mochware
2. Mi ntakuwa eidha kwenye msako mkali wa polisi, au nasubiria signecha ya JK ninyongwe
3. Matesha atahamia vituo vya kulelea watoto yatima.

Mwisho wa habari!
 
Hehehehe watoto watano..wa. mume..wa mwizi..wa mume..wa mwizi..wa mume!Wow mume kabahatika kuchukua wakwanza na wa mwisho!Imagine huyo mtoto ukaribu wake na nduguze utaathirika vipi iki moto utawaka baba mlezi akaanza kumtenga!

itakuwa majonzi sana na mbaya zaidi ukute huyo baba anampenda sana huyo mtoto ambaye sio wake
 



Babu sasa kweli nimeamini kuwa;

:hand::hand::hand:..............Mungu Hana Kamati................:israel::israel::israel:
 

Ila we ukiteleza usamehewe?
 

Mkuu Chetuntu
Hii ishu ni kama haina ushauri wa moja kwa moja kuokoa hizo ndoa.
Ni bora kila kitu kiwekwe wazi na utayari wa lolote litakalotokea uandaliwe
Wawekane wazi ili waache kuishi kwa mawazo kila siku
 

Mungu epushia mbali
 
Imekaa vibaya
mwanamke anayezaa nje ya ndoa kupata msamaha kwa mumewe ni ngumu
nahisi harufu ya talaka hapo

c taraka tu ndugu yangu na huyo mwizi awe tayari kwa kisasi chochote kitakacho tolewa na huyu mume aliyeibiwa
 
hapa Babu yupo kikazi zaidi lol....!!!!!!!!!

Inauma sana asee.....

Mabinti kibao mtaani hawajaolewa wanatafuta watu wakuwamimbisha, we unaenda kufinyanga baioloji ya mtu aliyejibinafsishia na kuilipia mahari lukuki....unaitumia kama yako na kusokomezea mimbegu yako mumo kwa mumo.....LOL
 

Sioni tofauti na nilichowaza kama ndio mimi limenikuta
 

kwa mtu kama mie ambae nilishamweleza kwamba ctakaa nipokee mtoto chini ya umri wa mwanangu mdogo bac hapo tayari imeshavurugika wala hakunaga mjadala, nani anataka kuuliwa hivi hivi ashindwe kuona maendeleo ya wanae?..kudhalilishana tu mtu mzima kushindwa hata kutumia condom ya shs mia...
 
Lizzy umeona eeehhe
BW ndo maana wahenga walisema mkuki kwa ngurue mtamu...!Wanaume kibao wanazaa nje na kutaka kusamehewa ila mwanamke yeye hata kufikiriwa mara moja tu hapana!Ni ubinafsi uliokithiri...kama hawataki mbegu za wanaume wenzao majumbani mwao na wao wasisambaze zao kwa watu wengine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…