Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Nimecheka sana.
Hahaha asante mwaya...na mimi nimerudia kusoma ikabidi nicheke!Dah..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka sana.
mbona mkaka tu ndo anaitwa mwizi kwenye hii post? huu ni ubaguzi wa kijinsia.
ushauri zaidi nitatoa baadae.
HIO mijitu haijaenda shule, yanafikiri mwanamke ndo wa kuleta mijike tu, kumbe haraka zao za kudo bila mpangilio, LOL jina la bwana libarikiwe.
Mi nitakuwa wa kwanza
Wa kwanza atakuwa wa mwisho
Ndo maanake
Ningekuwa ndo mm hapo baba wa kamba nitafanya juu chini na mm nilipize kisasi hata kwa kizizi lazima na mm nimtie mimba mke wake.
Ndivyo mnavyodanganyika hivyo??Ndo maana hata kupitiwa na shetani na bahati mbaya ni sababu zinazokubalika!Wanawake huwaga hawa-cheat bila sababu....
Fidel, hicho kisasi kimetulia sana tena kama mtu unapenda kulipizia..halafu ngoma inakuwa droo:🙂)
Msaada! Mbona simple sana! Wabadilishane wake. Waliodanganywa wakaishi pamoja na waliodanganya wakaendelee kujidanganya!
Ndivyo mnavyodanganyika hivyo??Ndo maana hata kupitiwa na shetani na bahati mbaya ni sababu zinazokubalika!
Nakwambia...mi kuna ndugu yangu alienda kuzaa nje ili apate wa kiume akaambulia wa kike tena.Matokea yake ni kulikoroga nyumbani na bado alichotaka hakupata.Alafu hua nashangaa wanaoenda nje ili kupata mtoto wa jinsia fulani..hivi hua hawajui kwamba miili yao ndo inayoamua?Maana utasikia mtu anamwambia mkewe laivu 'we unazaa majike tu' bila kujua kwamba muamuzi ni mbegu za mwanaume.
Aaah Lizzy nini bana...wanawake hawa cheat bana....
Nisome vizuri Lizzy....
Wanafanyaje vile?Wanadanganyika ehh?
mijanamke mingine bwanaa, kulikuwa na sababu la kuliambia jizi kuwa nina mimba ako? linataka talaka tu, na lipewe.
CHETU,
Nawajibika kumpa ushauri huyu Mkaka, Asahau kuhusu huyo mtoto kama kweli anampenda huyu mdada, Na kwa kuwa mkaka mwizi ana ndoa yake na ni nzuri tu, Aendelee kuongeza watoto kwa mke Halali, Kitendo anachotaka kufanya kitamsaidia nini? Anataka idadi ya watoto au anamtaka huyo mtoto aliyezaa na mke wa mtu? Je anajua nini kitatokea kwa huyu Mdada? Kama anampenda kweli aachane kabisa na wazo la kumtaka huyu mtoto, isitoshe ni mtoto katika ndoa ya mtu! Unawezaje kudai mtoto katika ndoa ya Mtu?
...kaka chukua tano, hapo hata mimi ningekusaidia kushikilia mguu!
Ndivyo mnavyodanganyika hivyo??Ndo maana hata kupitiwa na shetani na bahati mbaya ni sababu zinazokubalika!