Msaada kwa mkaka

Hii haiwezekani bana. Wanawake huwaga hawa-cheat bila sababu....siamini huyo mwanamke ali cheat...
 
HIO mijitu haijaenda shule, yanafikiri mwanamke ndo wa kuleta mijike tu, kumbe haraka zao za kudo bila mpangilio, LOL jina la bwana libarikiwe.

Yani kinachoshangaza ni kwamba wamesoma!Labda hua wanadhani baiolojia inaishia darasani!
 
Ndo maanake

Ningekuwa ndo mm hapo baba wa kamba nitafanya juu chini na mm nilipize kisasi hata kwa kizizi lazima na mm nimtie mimba mke wake.

duniani kuna mambo kwa kweli, hapo hakuna kugombana sijui mtakuwa mnaitanaje.
 
Msaada! Mbona simple sana! Wabadilishane wake. Waliodanganywa wakaishi pamoja na waliodanganya wakaendelee kujidanganya!
 
hebu muulize huyu besti wako hao watoto wa kike (-kwa mkewe) ni wake? akaangalie DNA,....[I

Hili nalo neno
 
Fidel, hicho kisasi kimetulia sana tena kama mtu unapenda kulipizia..halafu ngoma inakuwa droo:🙂)

Hahahaha yaani hapo jiwe kwa jiwe naamini hata kwa upuuzi huu alio fanya huyu jamaa wa kumtia mimba mke wangu na mke wake navyo mwambia tulivenge lazima atakubali tu tena mm napiga mapacha.
 
...kisa hiki ni miongoni mwa visa vya kweli kabisa kwenye jamii zetu. DNA test zinawaumbua wengi siku hizi.
Kuna kipindi natamani maisha yangekuwa yana kitufe, "Click" >> Stop >> Delete files >> Restart >>
naanza upya...
 
Ndivyo mnavyodanganyika hivyo??Ndo maana hata kupitiwa na shetani na bahati mbaya ni sababu zinazokubalika!

Aaah Lizzy nini bana...wanawake hawa cheat bana....

Nisome vizuri Lizzy....
 

angalia hata ndoa zisizokuwa na watoto lawama mwanamke



 
mijanamke mingine bwanaa, kulikuwa na sababu la kuliambia jizi kuwa nina mimba ako? linataka talaka tu, na lipewe.

Hata kama huruma kwa mwanamke mwenzangu ila huyu mwanamke kazidi, sasa anakosa vyote live..hapo atatia akili kuwa raha ya kuduu ni wakati wa tendo TU mengine ni historia!!..Yani amejitakia matatizo yote haya na mwizi mwenzie keshasamehewa yeye ndio hpati usingizi kuwaza jinsi ya kukabiliana na mumewe kwa hili suala!!
 


mkuu Renegade Mi ningesema ivo ivo tu.....huyo jamaa ni bora atulize mzuka asubiri mtoto akue hadi awe mkubwa wa kuweza kujitetea mwenyewe. Time will tel

Anachojidai kutaka mtoto huoni usharobaro tu....kwani hana wengine home? na si inatosha kwamba anajua ni wa kwake.....kama ulivosema......unawezaje kudai mtoto kwenye ndoa ya mtu?
 
Ndivyo mnavyodanganyika hivyo??Ndo maana hata kupitiwa na shetani na bahati mbaya ni sababu zinazokubalika!

kwa kweli huyo shetani anapitia wengi sana, hii sababu naichukia kweli..bora mtu akiri kuwa alitamani kuduu na mtu fulani siyo shetani kapitia..aggrrrrr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…