msaada kwa mpwa wangu

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,646
Reaction score
5,606
jamani waungwana salama,nina mpwa wangu ana umri wa miaka 3 na mpaka sasa ajaanza kutembea bali anaishia kutambaa..Je atakuwa anatatizo gani,
 
labda ana cub foot,.mpeleke kwa wataalam wa mifupa.,,,

Ok,jana kuna mmama mmoja kasema huyo mtoto atakuwa ana mtindio wa Ubongo,napo unashaurije hapo mkuu
 
mpeleke kwa wataalam wa afya[ zaidi nashauri wa mifupa,..na hayo ya kuongea uwaunganishie hao hao madaktari,..mengine yatatokea huko huko ,..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…