Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,646 Reaction score 5,606 Jan 25, 2014 #1 jamani waungwana salama,nina mpwa wangu ana umri wa miaka 3 na mpaka sasa ajaanza kutembea bali anaishia kutambaa..Je atakuwa anatatizo gani,
jamani waungwana salama,nina mpwa wangu ana umri wa miaka 3 na mpaka sasa ajaanza kutembea bali anaishia kutambaa..Je atakuwa anatatizo gani,
Junior Lecturer JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 913 Reaction score 582 Jan 28, 2014 #2 Anaongea?
B Bawa mwamba JF-Expert Member Joined Mar 19, 2010 Posts 350 Reaction score 32 Jan 29, 2014 #3 labda ana cub foot,.mpeleke kwa wataalam wa mifupa.,,,
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,646 Reaction score 5,606 Jan 29, 2014 Thread starter #4 Junior Recture said: Anaongea? Click to expand... Hapana ajaanza kuongea
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,646 Reaction score 5,606 Jan 29, 2014 Thread starter #5 Bawa mwamba said: labda ana cub foot,.mpeleke kwa wataalam wa mifupa.,,, Click to expand... Ok,jana kuna mmama mmoja kasema huyo mtoto atakuwa ana mtindio wa Ubongo,napo unashaurije hapo mkuu
Bawa mwamba said: labda ana cub foot,.mpeleke kwa wataalam wa mifupa.,,, Click to expand... Ok,jana kuna mmama mmoja kasema huyo mtoto atakuwa ana mtindio wa Ubongo,napo unashaurije hapo mkuu
B Bawa mwamba JF-Expert Member Joined Mar 19, 2010 Posts 350 Reaction score 32 Jan 29, 2014 #6 mpeleke kwa wataalam wa afya[ zaidi nashauri wa mifupa,..na hayo ya kuongea uwaunganishie hao hao madaktari,..mengine yatatokea huko huko ,..
mpeleke kwa wataalam wa afya[ zaidi nashauri wa mifupa,..na hayo ya kuongea uwaunganishie hao hao madaktari,..mengine yatatokea huko huko ,..