Msaada kwa Mtoto anakojoa damu

Msaada kwa Mtoto anakojoa damu

Mkuu mtoto wa mwaka mmoja kichocho atoe wapi, tena dar es saalam hii, alipata swimmers itch wapi?...alafu pia schistosomiasis doesnt come with that fever, unless its katayama fever ambayo haiko kwenye bladder ila kwenye liver caused by mansoni au japonicum but not heamatobium!

My take, huyo mtoto ana uti tu!...tena kwa umri huo nawasiwasi bado hajatairiwa which could be the source of infection!

Apelekwe hospital apewe gentamicine 7.5mg/kg once daily for 7 days...hio ndo dawa inauwezo wa kucover wadudu wengi!....dawa aloyopewa mwanza nahisi haikuwa broad ndio maana hakupona vizuri!

chaku shangaza kipi hapo complcation za schistosoma zpo nyng mbna waweza found infective larva(cericariae) wa H.haematobium kwenye stool wakat amesha zoeleka ni ni wa urinary tract...!!? abt swimmer itch...ni possble yu never known kama yupo karb na river sorce au karb na eneo amblo kuna mtu ame PEEING/VOIDING....abt BLOOD kuwa complication ya UTI...hapo nakataa maisha all bacteria ambao ni agent wa UTI anzia na mains kama PROTIUs..E.coli....ENTEROBACTERIAE FAMILY amna anae leta HAEMATURIA...kuwa na HAEMATURIA kwa huyo mtoto kunge manisha kupata SEPCAEMIA na hali yake ingekuwa mbaya zaid mana bacteria wange ingia kwenye damu kutokana na damu ni MEDIA nzuri kwa nutrient......
 
Very contraversial......
 
Mkuu if you think UTI cant cause heamaturia then you should go back to your books!
 
tatizo syo kurud kwnye kitabu...nmesha take HISTORY za UTI karbu 20 sjawah pata complication ya HAEMATURIA...kwakuwa tupo hapa kuelimishana...nipe mechanism ya UTI...!!
 
Back
Top Bottom