Msaada kwa mtu aliyepata stroke ( ISCHEMIC)

Msaada kwa mtu aliyepata stroke ( ISCHEMIC)

Mimi ninakupa huduma ya kwanza mgonjwa wako kumtibu Maradhi ya Ischemic Stroke Mgonjwa anywe kwa wingi chai ya Tangawizi, chai ya kilimnjaro Green tea.Mtengenezee supu ya mchicha au supu ya Sukuma wiki kila siku asikose kula, anywe maziwa halisi ya ng'ombe japo kwa siku mara 2 asubuhi na jioni, mgonjwa asikose kula juisi ya nanasi na juisi ya karoti kila siku mtengenezee nyumbani. Ukitaka nimtibie mgojwa wako Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.

View attachment 497114

View attachment 497116

View attachment 497117

View attachment 497119
Asante sana MkavuMkavu...!!!
 
Ila juisi ya nanasi na karoti zote unazichanganya???
 
Hakuna watu wa alternative medicine ya " WANAMALUNDI"? maana mtu akileta tatizo kubwa kwenye jukwaa kubwa namna hii linalopenya dunia nzima kwenye watu wenye mila ujuzi na uzoefu wa matatizo mbalimbali na suluhisho zao unaweza kukuta kuna mtaalamu mwenye ujuzi wa kutibu tatizo kubwa kirahisi kabisa. Niliwahi kusikia kuwa kuna watu wamewahi kuparalize hadi mdomo kupinda lakini wanakutana na wataalamu wa asili wanaponyesha kiulaini kabisa.
Wapo mkuu sasa sijajua ni wataalam wa aina gani wa tiba asili au hawa wa kucheza na manyanga???
 
Wadau naomba msaada wenu kwa mtu aliyepata na Ischemic stroke je anaweza akapata tatizo la kama degedege au kama kifafa? mana mgonjwa wangu amepatwa na hiyo hali ni kama vile wakati mwingine anapatwa kama na kifafa/degedege.
naombeni mdaada wenu juu ya hiyo na nini cha kufanya..!!
Asaenteni na pasaka njema...!!!!
nitafute pm kama hutojali
 
Back
Top Bottom