Msaada kwa mwanafunzi wa degree ya computer science

Msaada kwa mwanafunzi wa degree ya computer science

empires maker

New Member
Joined
Oct 18, 2026
Posts
1
Reaction score
2
Habarini wanajamvi, poleni na majukumu na hongereni kwa siku njema.

Jamani leo ningependa kushare jambo ili niweze kupata mwanga juu ya mdogo wangu anayeenda kusoma computer science degree IAA Arusha.

Ningependa kujua vifuatavyo;

  • Ajikite na kitu gani/kozi ili ije imletee manufaa baadae?
  • Je? Kuna kozi anayoweza kuanza nayo ambayo inaweza ikamfanya apate kazi mtaani wakati akiwa bado masomoni
  • Nimwandalie vitu gani ili aje awe nguli?
  • Changamoto za kusomea kozi hii?
  • Niandae nini ili akimaliza masomo yake asisumbuke kutafuta ajira?
  • Msaada tafadhari natanguliza shukurani
 
mdogo wangu anayeenda kusoma computer science degree
Kwa sasa kuna wataalamu wachache wa CYBERSECURITY duniani kote na hii imechangiwa na maendeleo ya AI.

Lakini COMPUTER SCIENCE ina uwanja mpana huku CYBERSECURITY ina uwanja mdogo.

​

Cybersecurity vs Computer Science: Which One to Choose in 2026?​

Computer science covers the broad foundations of computing, from programming to AI, while cyber security focuses specifically on protecting systems and data from attacks.

A degree in computer science leads to careers like software development and data analysis, while a degree in cyber security opens doors to roles like ethical hacking and network protection.

Habarini wanajamvi, poleni na majukumu na hongereni kwa siku njema.

Jamani leo ningependa kushare jambo ili niweze kupata mwanga juu ya mdogo wangu anayeenda kusoma computer science degree IAA Arusha.

Ningependa kujua vifuatavyo;

  • Ajikite na kitu gani/kozi ili ije imletee manufaa baadae?
  • Je? Kuna kozi anayoweza kuanza nayo ambayo inaweza ikamfanya apate kazi mtaani wakati akiwa bado masomoni
  • Nimwandalie vitu gani ili aje awe nguli?
  • Changamoto za kusomea kozi hii?
  • Niandae nini ili akimaliza masomo yake asisumbuke kutafuta ajira?
  • Msaada tafadhari natanguliza shukurani
Cha kwanza mwanao apende somo kutoka ndani ya moyo wake maana ni somo linalihitaji self attitude, lkn pia ajue computer science sio matumizi ya kilichotengenezwa tuu bali kutumia na kuboresha kilichotengenezwa ,hivyo ajikite sana katika coding (programming languages) kama python, C++,Java vile vile operating system, database, pamoja na networking....... baada ya hapo mshauri aje aspecialize kwenye eneo analotaka kama ni networking, database,coding lakini pia tabia yakujifunza kila siku kwakuwa technology inabadilika kila sasa.
 
Kwanza Mpe Kongole bwana Mdogo kwa kuchaguliwa kwenda kusoma Sayansi ya Computer.Ni kozi nzuri.Kwa ushauri wangu ili awe nguli awekeze sana kwenye Information systems Security pamoja na Kwenye eneo la Networking.Akiwa Chuo asome kama vile anajiandaa kufanya mitihani ya Cisco Networking na Board nyingine za IS Security.

Sasa kuhusu vikozi vinavyoweza kumpa kazi ndogondogo wakati bado anasoma awekeze tu kwenye kuelewa Basics za Programming na Basici Syntax za PHP,Python na Java Script kisha asipitwe na html na CSS.Akishaelewa basics hizo ajifunze AI tools kama tatu au nne ili sasa aweze kufanya kazi kwa kutumia AI.

Maandalizi:

Kwanza mtafutie ENTRY Level Laptop kwa ajili ya kujifunzia kisha atapoelewa anachotaka kufanya atajua pia anunue PC yenye sifa zipi.Mnunulia Set ya vifaa vya kufungua laptop,simu n.k. ili ailewe PC ndani na nje.Ukimnunuli PC hakikisha inakuwa na LINUX OS flavour yoyote ile.Akiindoa na kurudi windows ujue bado ili ukiona amefanikiwa kusetup DUAL BOOT na akawa Native wa Linux basi Ujue atamake.

Mwisho mwambie afungue akaunti Git hub,Azurure uko na kupitia Project za watu wengine na aone kama atajifunza jipya.

Maelezo mengine inabidi sasa mlipie...
 
Hizo ndio kozi hazita haribiwa na AI. Zingine zote AI inachukua.
Ukiangalia masomo ya Physics, Chemistry na Mathemaatics utagundua kwamba hakuna namna ya kuyatengenisha na Teknolojia, AI inagusa kwenye masomo yote hayo.

Ila kama kutakuwa na Chuo kitakachoendelea kufundisha Crude Courses za hayo masomo PCM basi AI haitawagusa.
 
Wote tumeshuhudia mambo anayofanya Elon bila kusoma physics ule ugunduzi hauji.
 
Back
Top Bottom