empires maker
New Member
- Oct 18, 2026
- 1
- 2
Kwa sasa kuna wataalamu wachache wa CYBERSECURITY duniani kote na hii imechangiwa na maendeleo ya AI.mdogo wangu anayeenda kusoma computer science degree
PoleniMimi vijana wangu nitawahimiza wasome
Bachelor of Physics
Bachelor of Chemistry
Bachelor of Mathematics
Hizo ndio kozi hazita haribiwa na AI. Zingine zote AI inachukua.Poleni
Pitia hapa ...................Mimi vijana wangu nitawahimiza wasome
Bachelor of Physics
Bachelor of Chemistry
Bachelor of Mathematics
Cha kwanza mwanao apende somo kutoka ndani ya moyo wake maana ni somo linalihitaji self attitude, lkn pia ajue computer science sio matumizi ya kilichotengenezwa tuu bali kutumia na kuboresha kilichotengenezwa ,hivyo ajikite sana katika coding (programming languages) kama python, C++,Java vile vile operating system, database, pamoja na networking....... baada ya hapo mshauri aje aspecialize kwenye eneo analotaka kama ni networking, database,coding lakini pia tabia yakujifunza kila siku kwakuwa technology inabadilika kila sasa.Habarini wanajamvi, poleni na majukumu na hongereni kwa siku njema.
Jamani leo ningependa kushare jambo ili niweze kupata mwanga juu ya mdogo wangu anayeenda kusoma computer science degree IAA Arusha.
Ningependa kujua vifuatavyo;
- Ajikite na kitu gani/kozi ili ije imletee manufaa baadae?
- Je? Kuna kozi anayoweza kuanza nayo ambayo inaweza ikamfanya apate kazi mtaani wakati akiwa bado masomoni
- Nimwandalie vitu gani ili aje awe nguli?
- Changamoto za kusomea kozi hii?
- Niandae nini ili akimaliza masomo yake asisumbuke kutafuta ajira?
- Msaada tafadhari natanguliza shukurani
Kuharibiwaje?Ila wabongo bwana...Hizo ndio kozi hazita haribiwa na AI. Zingine zote AI inachukua.
Hizi Academic Degree kusema kweli ni Majanga Mkuu angalau hiyo Bsc in ChemistryMimi vijana wangu nitawahimiza wasome
Bachelor of Physics
Bachelor of Chemistry
Bachelor of Mathematics
Ukiangalia masomo ya Physics, Chemistry na Mathemaatics utagundua kwamba hakuna namna ya kuyatengenisha na Teknolojia, AI inagusa kwenye masomo yote hayo.Hizo ndio kozi hazita haribiwa na AI. Zingine zote AI inachukua.
Wote tumeshuhudia mambo anayofanya Elon bila kusoma physics ule ugunduzi hauji.Ukiangalia masomo ya Physics, Chemistry na Mathemaatics utagundua kwamba hakuna namna ya kuyatengenisha na Teknolojia, AI inagusa kwenye masomo yote hayo.
Ila kama kutakuwa na Chuo kitakachoendelea kufundisha Crude Courses za hayo masomo PCM basi AI haitawagusa.