Msaada kwa mwenye kujua asili ya Jina Rambau

Msaada kwa mwenye kujua asili ya Jina Rambau

jebibay

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2012
Posts
1,431
Reaction score
640
Wakuu naomba kuuliza kwa mwenye ufahamu wa asili ya jina Rambau.

Watu wenye majina Rambau wanatoka mkoa gani hapa Tanzania na ni kabila gani ?

Shukrani.
 
Wakuu naomba kuuliza kwa mwenye ufahamu wa asili ya jina Rambau.

Watu wenye majina Rambau wanatoka mkoa gani hapa Tanzania na ni kabila gani ?

Shukrani.
Wachagga wa uru hao mkuu
 
Imeisha hiyo. Nilitaka nijue tu asili maana kwa kweli nilikuwa sijui pamoja na kwamba ninawafahamu wachaga na ninaishi nao lakini hilo jina la Rambau nilikuwa silijui kabisa....
Basi sawa Mkuu, mjiandae kwa safari za Kishumundu.
 
Basi sawa Mkuu, mjiandae kwa safari za Kishumundu.
Yaah, most likely huyo tutachukua jumla maana bro yupo serious. Actually bro mkubwa kabisa kaoa mchaga wa Rombo na probably ningemuuliza shemeji mkubwa angekuwa anajua hili jina. Hata hivyo bro mkubwa na shemeji bado hawana taarifa hizi.
 
Back
Top Bottom