rugu kwetu
Member
- May 23, 2023
- 35
- 44
Kama kuna mtu au wataalamu wa kupuliza dawa majumbani ninaomba tuwasiliane kuna wadudu wanakula mbao za dali ninaitaji sana kama yupo tuwasilane kwa kazi hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulipaka kabla au baada ya kupiga bati?Hao wadudu wako ndani kabisa ya mbao, si kupuliza juu juu kua watakufa.
Mi nilinunua oil chafu, nikapaka atleast wamepunguza kelele, ni vema upake wakati wa jua/ joto ndo dawa yapita vyema
Ndio mkuu, ili nibidi nipande mana najua mafundi wangelipualipua, ila kua makini kama wamekula sana usije anguka.Ulipaka kabla au baada ya kupiga bati?