Msaada kwa mwenye kujua hili

rugu kwetu

Member
Joined
May 23, 2023
Posts
35
Reaction score
44
Kama kuna mtu au wataalamu wa kupuliza dawa majumbani ninaomba tuwasiliane kuna wadudu wanakula mbao za dali ninaitaji sana kama yupo tuwasilane kwa kazi hii
 
Hao wadudu wako ndani kabisa ya mbao, si kupuliza juu juu kua watakufa.

Mi nilinunua oil chafu, nikapaka atleast wamepunguza kelele, ni vema upake wakati wa jua/ joto ndo dawa yapita vyema
 
Hao wadudu wako ndani kabisa ya mbao, si kupuliza juu juu kua watakufa.

Mi nilinunua oil chafu, nikapaka atleast wamepunguza kelele, ni vema upake wakati wa jua/ joto ndo dawa yapita vyema
Ulipaka kabla au baada ya kupiga bati?
 
Ulipaka kabla au baada ya kupiga bati?
Ndio mkuu, ili nibidi nipande mana najua mafundi wangelipualipua, ila kua makini kama wamekula sana usije anguka.

Mara nyingi hawa wadudu huja baada ya kufunga board
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…