Magari damu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 433
- 759
Unatokea mkoa upi?Wakuu habari zenu,
Nimepanga kwenda Mwanza kati ya tarehe 22 hadi 24 mwezi huu ila hizi sikukuu kidogo imekua changamoto kupata usafiri wa umma maana buses zote ndani ya siku hizo tayari ziko booked na nahitaji sana kusafiri kati ya siku hizo.
Kwa yeyote ambae atakua na usafiri wake wa kwenda Mwanza kati ya siku hizo tajwa na tunaweza kuchangia mafuta, naomba anisaidie.
Unaweza nicheki hata DM.
Asante
Asante mkuuUnatokea mkoa upi?
Kama ni DSM mbona rahisi sana wala haina haja ya kuweka tangazo hapa,nenda Mbezi mwisho muda wowote na siku yoyote ile unasafiri pasipo shida,kama upo Mbeya basi nenda pale Uyole ,utasafiri muda wowote na siku yotote.
kama ni Arusha Phillips,watakuelekeza wadau.
Niko Dar wakuu.
Naomba nikucheki PM mkuuMi nipo Dom ungekuwa huku tungeenda maana mi naenda Tarime