Magari damu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 433
- 759
Wakuu habari zenu,
Nimepanga kwenda Mwanza kati ya tarehe 22 hadi 24 mwezi huu ila hizi sikukuu kidogo imekua changamoto kupata usafiri wa umma maana buses zote ndani ya siku hizo tayari ziko booked na nahitaji sana kusafiri kati ya siku hizo.
Kwa yeyote ambae atakua na usafiri wake wa kwenda Mwanza kati ya siku hizo tajwa na tunaweza kuchangia mafuta, naomba anisaidie.
Unaweza nicheki hata DM.
Asante