mbona umechelewa sana mkuu..jaribu mwakani mwaka huu ameingia chaka...kunajamaa yangu alipata matokeo haya1.History C 2.Kiswahil D 3.Language D 4.General Study -failed haya ni matokeo ya A-level.anaweza aka apply course ipi na wapi akapata?Maana wengine wanamwambia amefail somo namba 4 eti ni lazima areset ni kweli wana jf?Msaada tafadhali.
Ushauri ni kwamba Gs siku zote haina effect kwenye kuomba vyuo vikuu(evidence tcu guide book) lkn effect ni kunye cheti kupunguzwa daraja,so angeweza kusoma kila kitu,so mwambie anaqualification zote na kwa mwaka huu kashachelewa,try next week.