Msaada: Kwa mwenye ufahamu kuhusu tatizo hili

nevig

Member
Joined
Oct 31, 2017
Posts
10
Reaction score
13
Habarin ndug zang? Nina tatizo moja ambalo nimeligundua hivi karibun ambalo linaniumiza kichwa nahitaji msaada kwa anayejua matibabu yake, mm ni Kijana nna umri wa miaka 27 kwa sasa na nna Mke ,nina uwezo wa kushirik tendo la ndoa vzr kama wengn lakini tatzo langu sina uwezo wa kusababisha mimba , na nmelijua hilo baada ya kuona mbon mkewng hashik mimba tulipokwenda hospital mm nkafanya checkup ya spermatozoa count ,nikaonekana mbegu 70% dead only 30% alive lakini pia speed ya mbeg zang nimeambiwa ni ndog sana ,nkapewa dawa za hospital kutumia ila cjaona mabadiliko mpka sasa ,kwa mwenye ufahamu juu ya swala hili naomba anisaidie kitu gan kinaweza nisaidia kusolve hili nitetee Amani ya ndoa yang . kama huna ufahamu juu ya hili nikuombe usiandike mambo yatakayo niongezea stress inaweza ikakugharumu pasipo kujua hujui nina maumivu kiasi gani ktk hili .asante
received_830409957061534.jpeg
 
Hakuna namna MKUU,,,, suala lako ni GUMU SN KULITATUA,,,na hata MKEO HAWEZI KULIVUMILIA,,,,,atafika muda ATAKULETEA MIMBA NDANI.....yupo jamaa yng mmoja alikuwa na tatizo kama lako,,,,aliishi na mkewe MIAKA 10 bila kuwa na KUSHIKA MIMBA,,,,WALA MTOTO,,,, ikafika kipindi jamaa alipata safari akawa NJE YA INCHI kama kwa MIAKA 2 hivi..MKE AKAJARIBU KUGEGEDWA NJE YA NDOA,,,,,,AKASHIKA MIMBA..HAKUTAKA KUITOA kama ni NDOA NA IVUNJIKE,,,, siku MUME anarudi anamkuta mkewe na KICHANGA CHA MIEZI 3....jamaa hakuwa na jinsi yupo hadi Leo na mkewe,,,,na anahesabu kama baba mlezi,,ingawa yule MTOTO ana baba yake...KESI YAKO NGUMU MKUU,,,,nakushauri JARIBU KUGEGEDA NJE....kama una PESA UNAWEZA UKASINGIZIWA MTOTO,,,, ukalea,,,
 
Ndugu tatizo lako linaweza kutatuliwa kabisa wala usiwe na wasiwasi
 
Nitafute mkuu, uwe na 250000 nikupatie dawa ya kutumia mwezi mzima
 
Habarin ndug zang? Nina tatizo moja ambalo nimeligundua hivi karibun ambalo linaniumiza kichwa nahitaji msaada kwa anayejua matibabu yake, mm ni Kijana nna umri wa miaka 27 kwa sasa na nna Mke ,nina uwezo wa kushirik tendo la ndoa vzr kama wengn lakini tatzo langu sina uwezo wa kusababisha mimba , na nmelijua hilo baada ya kuona mbon mkewng hashik mimba tulipokwenda hospital mm nkafanya checkup ya spermatozoa count ,nikaonekana mbegu 70% dead only 30% alive lakini pia speed ya mbeg zang nimeambiwa ni ndog sana ,nkapewa dawa za hospital kutumia ila cjaona mabadiliko mpka sasa ,kwa mwenye ufahamu juu ya swala hili naomba anisaidie kitu gan kinaweza nisaidia kusolve hili nitetee Amani ya ndoa yang . kama huna ufahamu juu ya hili nikuombe usiandike mambo yatakayo niongezea stress inaweza ikakugharumu pasipo kujua hujui nina maumivu kiasi gani ktk hili .asanteView attachment 751615
Hapo mwisho wa uzi wako ndiyo umeharibu unamchimba nani hiyo mikwala yako ikiwa unatafuta tukusaidie?
 
ati mtu ana shida alafu anakuja na mikwara jemeni!.. Mi ninauwezo wa kumsaidia ila awa mpole na anipe namba zake za simu tu. kazi itakuwa imeisha.
 
Habarin ndug zang? Nina tatizo moja ambalo nimeligundua hivi karibun ambalo linaniumiza kichwa nahitaji msaada kwa anayejua matibabu yake, mm ni Kijana nna umri wa miaka 27 kwa sasa na nna Mke ,nina uwezo wa kushirik tendo la ndoa vzr kama wengn lakini tatzo langu sina uwezo wa kusababisha mimba , na nmelijua hilo baada ya kuona mbon mkewng hashik mimba tulipokwenda hospital mm nkafanya checkup ya spermatozoa count ,nikaonekana mbegu 70% dead only 30% alive lakini pia speed ya mbeg zang nimeambiwa ni ndog sana ,nkapewa dawa za hospital kutumia ila cjaona mabadiliko mpka sasa ,kwa mwenye ufahamu juu ya swala hili naomba anisaidie kitu gan kinaweza nisaidia kusolve hili nitetee Amani ya ndoa yang . kama huna ufahamu juu ya hili nikuombe usiandike mambo yatakayo niongezea stress inaweza ikakugharumu pasipo kujua hujui nina maumivu kiasi gani ktk hili .asanteView attachment 751615
Kula vzuri, fanya mazoezi, pumzika muda wa kutosha, punguza stress. Mambo yatakuwa super.
 
pole sana brother kwa tatizo ulilonalo, ila nilitaka nikuulize tu je dozi uliopewa umetumia kwq muda gani?

Kula vzuri, fanya mazoezi, pumzika muda wa kutosha, punguza stress. Mambo yatakuwa super.
 
Habarin ndug zang? Nina tatizo moja ambalo nimeligundua hivi karibun ambalo linaniumiza kichwa nahitaji msaada kwa anayejua matibabu yake, mm ni Kijana nna umri wa miaka 27 kwa sasa na nna Mke ,nina uwezo wa kushirik tendo la ndoa vzr kama wengn lakini tatzo langu sina uwezo wa kusababisha mimba , na nmelijua hilo baada ya kuona mbon mkewng hashik mimba tulipokwenda hospital mm nkafanya checkup ya spermatozoa count ,nikaonekana mbegu 70% dead only 30% alive lakini pia speed ya mbeg zang nimeambiwa ni ndog sana ,nkapewa dawa za hospital kutumia ila cjaona mabadiliko mpka sasa ,kwa mwenye ufahamu juu ya swala hili naomba anisaidie kitu gan kinaweza nisaidia kusolve hili nitetee Amani ya ndoa yang . kama huna ufahamu juu ya hili nikuombe usiandike mambo yatakayo niongezea stress inaweza ikakugharumu pasipo kujua hujui nina maumivu kiasi gani ktk hili .asanteView attachment 751615
Una matatizo ya (Low Sperm Count) Uzalishaji wa mbegu za uzazi mdogo nitafute kwa wakati wako nikupe dawa upate kumzalishe mke wako.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu

LOW SPERM COUNT.jpg

Pole sana mkuu, nakupa pole kwa kutumia hzo dawa za kisasa maana hizo huwa hazitibu bali kazi yake ni kuboost kwa kipindi fulani tuhh, baada ya hapo hali inaludi palepale,

Cha msingi jaribu kutumia dawa za kienyeji, kama upo mwanza mtafute Muu herbala clinic anasaidia watu wengi sana wana pona, kama upo iringa mtafute Bibi Samila anapatikana Nyabula, Malendi Ni mtu mashuli sana kwa matatizo ya nguvu za kiume.

Kumbuka kuludisha kumbukumbu nyumbani kwako, kama kuna mambo ya kishirikina waweza kuwa ulifungwa, hii ni imani tuhh siyo lazima uifuatilie.

Pamoja na majibu yako kuwa uliambiwa 70% not alive but 30%is moving forwad, Majibu yako bado hawajakupa yaliyo jitosheleza kama umeandikiwa hvo kwa sababu huwa tuna angalia vitu vifuatavyo;
¤Ujazo(volume ya sample)
¤viscosity( yani ule mnato mnato)
¤Movement yake kama inaenda mbele, siyo zinakuwa zinapisha pishana.
¤Pia hyo sperm lazima iwe inakichwa, mwili, na mkia
¤ odour(Halufu yake) Hivi vitu vyote Technologist lazime akuelezee au akuandikie hata kama unaenda kununua dawa, docta/pharmacia anakuwa anajua kipi akifanye au akupe ushauri gani.

Ushauli wa kipuuzi,
acha kula chipsi,
acha kupiga punyeto
Tumia dawa asili siyo za hospitalini kwa sababu wewe bado ni kijana mdogo.

Mungu akusaidie upone, uendelee kulijenga taifa kwa amani.
Naam ni hakika utapona.
 
Back
Top Bottom