Alkam Alkam
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 603
- 512
Jana Rafiki Angu Amekamatwa Mida ya saa 9 jioni akapelekwa Mabatini Baada ya kufatilia tukaambiwa Amekamatwa kwa kosa la “WIZI WA KUAMINIWA”
Alie mshtaki ni Boss wake “KAMPUNI YA UJENZI” Tukauliza njia ya kumdhamini tukaelekezwa,Tukafanya yote wanayo yataka baada ya kuyatimiza na kwenda pale tukaambiwa,
Huyu awezi kupata dhamana kwa sababu Mpelelezi wake hayupo walisema “KASAFIRI” Hapo nusu saa nyuma alikuepo,Naomba kusaidiwa Msaada wa kisheria anaejua hili.
Kiasi cha pesa kilichosemwa na mlalamikaji ni 30M,Mshtakiwa ajaajiliwa na Mlalamikaji,Na week tatu nyuma baada ya kumhisi “MLALAMIKIWA” Alinyang’anywa simu na computer mpaka leo anazo
Kikubwa tunataka kumuwekea Dhamana Mshkaji “MJUZI KATIKA HILI ANIJUZE PLEASE”