Msaada kwa mwenye ujuzi na sheria

Msaada kwa mwenye ujuzi na sheria

Alkam Alkam

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
603
Reaction score
512
Jana Rafiki Angu Amekamatwa Mida ya saa 9 jioni akapelekwa Mabatini Baada ya kufatilia tukaambiwa Amekamatwa kwa kosa la “WIZI WA KUAMINIWA”

Alie mshtaki ni Boss wake “KAMPUNI YA UJENZI” Tukauliza njia ya kumdhamini tukaelekezwa,Tukafanya yote wanayo yataka baada ya kuyatimiza na kwenda pale tukaambiwa,

Huyu awezi kupata dhamana kwa sababu Mpelelezi wake hayupo walisema “KASAFIRI” Hapo nusu saa nyuma alikuepo,Naomba kusaidiwa Msaada wa kisheria anaejua hili.

Kiasi cha pesa kilichosemwa na mlalamikaji ni 30M,Mshtakiwa ajaajiliwa na Mlalamikaji,Na week tatu nyuma baada ya kumhisi “MLALAMIKIWA” Alinyang’anywa simu na computer mpaka leo anazo

Kikubwa tunataka kumuwekea Dhamana Mshkaji “MJUZI KATIKA HILI ANIJUZE PLEASE”
 
Km bado yupo ndani nitafute inbox leo hii atatoka
 
usiogope kupiga simu mojakwa moja kwa mh lugola alitoa masaa 24 tu za kumuweka ndani mtuhumiwa nenda hapo kituoni waambie wakupe namba yake wakikuuliza kwa nini waambie sheria hii alitoa yeye
 
Hapo nadhani inatakiwa kwenda mahakamani kuwalazimisha polisi wampeleke mahakaman huyo mtuhumiwa, unaenda kuwashtaki nadhani
 
Back
Top Bottom