Msaada kwa mwenye uzoefu na biashara ya mbao za saiplasi zakupaulia nyumba

gimmy's

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
3,312
Reaction score
3,345
Ndugu wanajanvi naomba msaada kwa anaeifaham vizuri biashara ya mbao zakupaulia nyumba.
Naomba kufaham nitaifanyaje ili iweze kunilipa?
Mtaji wake ili niweze kuanza vizur nianze na Tsh ngapi?
Kwasasa nina mashine yakuranda pamoja na mashine yakupasulia mbao naamini hizi ni miongoni mwa nyenzo ambazo zinahitajika ili nipate kuanza biashara hiii.
Asanteni!
 
Kwanza naomba nikuulize swali, utapata wapi mbao ulizotaja? Maana kupata Lory la mbao aina hiyo ni kazi kubwa sana, kwa pale Dsm huwezi kupata kabisa, labda kama mtu alizitunza, kwa ufupi ni kwamba misitu ya mbao hizo haipo kwa sasa. Zamani ilikuwa kule west kilimanjaro. Na michache iliyooteshwa na watu ilishavunwa.

Japokuwa ipo kidogo sana, yaani mti mmoja mmoja, Ukienda Ng`ang`ange Kilolo waweza pata kidogo.

Mimi nadhani una maanisha pines, pines ndio hizo zimejaa Buguruni na kwingineko, lakini cyprus ni habari nyingine kabisa.
 
Asante bwana malila kwa maelezo yako yenye kutia moyo.Kwakweli umenifungua macho kwani nilimaanisha pines ila nilifikir ndizo wanazoziita cyprus.
Naomba sasa unipe uelewa wako juu ya biashara hii ya hizi mbao za pines kwani kwa maelezo ulioyatoa inaonesha unauelewa juu ya biashara hii.
Asante
 
Asante bwana malila kwa maelezo yako yenye kutia moyo.Kwakweli umenifungua macho kwani nilimaanisha pines ila nilifikir ndizo wanazoziita cyplas.
Naomba sasa unipe uelewa wako juu ya biashara hii ya hizi mbao za pines kwani kwa maelezo ulioyatoa inaonesha unauelewa juu ya biashara hii.
Asante

Kikubwa ktk biashara zilizo nyingi ni location, je location nzuri,salama,inayofikika na ina parking unayo? Je umefanya utafiti wa hiyo location yako kuona kama kuna dealers wengine? Je huko ulikochagua kufanyia biashara kuna magwiji wengine.

Je wateja wa huko ulikochagua ni wa mbao treated au za kawaida? Au wanachanganya?,Reja reja au jumla? La mwisho muhimu, hiyo biashara utasimamia mwenyewe au utaniweka mimi nikufanyie?

Fanya hivi, pitia maduka ya mbao hapo unapotaka kufungua duka lako, chunguza sana ili upate siri za hapo. Mimi kukupa jamaa wa kukusaidia ujanja naweza, lakini na wewe fanya home work yako. Kule Mafinga nina jamaa wanaochana mbao wa kukusaidia.
 
Let me be your supplier Mr Malila....nina mashamba ya miti aina ya Cuban Pines kule Mufindi...if u serious need this business we can then talk....I'll supply to u in whole sale then u sale them in retail
 
Back
Top Bottom