Aha Sawa process zake nikama ifuatavyo, unatakiwa uwe na tin number hii inapatikana TRA bure, ukishapata hiyo unaenda manispaa kukata leseni yabiashara nadhani haifiki laki kwamwaka mzima, baada yahapo unapiga copy hiyo tin number naleseni yako yabiashara pamoja nakopi yakitambulisho nautapeleka ofisi ya mtandao husika watakupa form utajaza nautaambatanisha pamoja nahizo kopi zako, hapo kazi yako itakuwa imekwisha zaidi utawaachia mawasiliano kwaajili yakuku taarifu line zako zikiwa tayari. Kuna baadhi ya mitandao watahitaji napasport size yako moja au mbili utawapatia nadhani nitigo.Nipo mbeya
Asante sana, nimekuelewa vizuriAha Sawa process zake nikama ifuatavyo, unatakiwa uwe na tin number hii inapatikana TRA bure, ukishapata hiyo unaenda manispaa kukata leseni yabiashara nadhani haifiki laki kwamwaka mzima, baada yahapo unapiga copy hiyo tin number naleseni yako yabiashara pamoja nakopi yakitambulisho nautapeleka ofisi ya mtandao husika watakupa form utajaza nautaambatanisha pamoja nahizo kopi zako, hapo kazi yako itakuwa imekwisha zaidi utawaachia mawasiliano kwaajili yakuku taarifu line zako zikiwa tayari. Kuna baadhi ya mitandao watahitaji napasport size yako moja au mbili utawapatia nadhani nitigo.
Kuhusu kutumia nakala zamtu mwingine sio shida ili mradi makubaliano yenu naananakuwa ninani yako, akikuamini, ukimuamini inakuwa haina tatizo ila kama unaweza nivizuri ukatumia viambata vyako ili hata baadae zikileta shida vitambulisho unakuwa ulitumia vyako mwenyewe so hata kupata msaada inakuwa nivirahisi sana.
Japo aliyeuliza ni mwingine, mimi pia nimenufaika na maelezo yako mkuu. Kwa uzoefu wako ili uweze endesha biashara yako kwa umakini kwa mitandao yote taja hapo. Ni kiasi gani cha mtaji kinatakiwa kisipungue ?Aha Sawa process zake nikama ifuatavyo, unatakiwa uwe na tin number hii inapatikana TRA bure, ukishapata hiyo unaenda manispaa kukata leseni yabiashara nadhani haifiki laki kwamwaka mzima, baada yahapo unapiga copy hiyo tin number naleseni yako yabiashara pamoja nakopi yakitambulisho nautapeleka ofisi ya mtandao husika watakupa form utajaza nautaambatanisha pamoja nahizo kopi zako, hapo kazi yako itakuwa imekwisha zaidi utawaachia mawasiliano kwaajili yakuku taarifu line zako zikiwa tayari. Kuna baadhi ya mitandao watahitaji napasport size yako moja au mbili utawapatia nadhani nitigo.
Kuhusu kutumia nakala zamtu mwingine sio shida ili mradi makubaliano yenu naananakuwa ninani yako, akikuamini, ukimuamini inakuwa haina tatizo ila kama unaweza nivizuri ukatumia viambata vyako ili hata baadae zikileta shida vitambulisho unakuwa ulitumia vyako mwenyewe so hata kupata msaada inakuwa nivirahisi sana.
Wenyewe hawakupangii mtaji kiasi gani uanze nacho ila niwewe mwenyewe ndio utajipangia uanze namtaji kiasi gani. Kwauzuri kabisa kama upo maeneo mazuri basi kisipungue milioni 2 ila milioni 3 itapendeza zaidiJapo aliyeuliza ni mwingine, mimi pia nimenufaika na maelezo yako mkuu. Kwa uzoefu wako ili uweze endesha biashara yako kwa umakini kwa mitandao yote taja hapo. Ni kiasi gani cha mtaji kinatakiwa kisipungue ?
Mwaka gani mkuu TRA walikukadiria kodi ya 30 Elfu kwa mwakaKwanza unatakiwa kuwa na tin namba kutoka TRA na yakulipia sio ya bure, apa utatumia akili kidogo ili wakuchaji pesa kidogo mfano mimi nilienda nikawaambia nimefungua stationary mauzo yangu ni 10000 per day nikawapa nakala ya mkataba wa frem nliopangisha ambayo haikuzid 50,000 kwa mwezi, basi TRA wakanipa form nikaenda kuijaza ikapitia office ya serikali za mtaa nikarudisha nikakadiriwa kodi kama ya 30000 ivi kwa mwaka hatimae nikapewa tin namba ya biashara, next nikaenda halmashauri kufatilia lesen ya biashara, ukienda kwenye halmashaur yako watakwambia nini na nn wanahitaji moja wapo ni iyo tin namba kutoka TRA basi nao ukikamilisha watakufanyia makadirio utalipia baada ya mda kidogo utapewa leseni (ukienda TRA au halmashauri hakikisha umeshajipanga kua biashara gani utaifanya ili kuepuka usumbufu yaan buni ata kwa imagination sio lazima ufungue kwa wakati uo ila vizur zaidi iyo biashara iwe kwenye mipango yako, mfano mm nlibuni tu stationary na saivi nnayo kiukweli lengo la hili ni kupata izo leseni zao tu), ukishapata sasa utaenda office za mitandao unayoka na leseni,tin namba, copy ya kitambulisho, pasport size, kule watakupa form ujaze then watakupa utaratibu mwingine, upande wa voda hawana longo longo wao ni fasta tu na nibure kabisa, ila tigo sasa itategemea na office husika na itachukua mda around 2-5 month. Uo mtiririko kiutendaji ni simple sana ukiwa upo fresh haumalizi ata siku 3, mfano mimi TRA nilimalizana nao kwa siku moja tu.
Ushauri usijaribu kabisa kutumia doc au line iliosajiliwa na mtu mwingine, wakati wa kutumia inakua haina tatizo ila likitokea tatizo lolote ukahitaj msaada wa moja kwa moja kutoka office za mtandao husika utahitajika docmnt zote za usajili na lazima taarifa za iyo line zipelekwe na mhusika nakwambia hivi nikiwa na uzoefu wa kutosha.
Mwaka huu mwanzoni tu mbona nimelipa tsh.36000 apo tawi la shekilango tena uzuri pale na bank ipo pembeniMwaka gani mkuu TRA walikukadiria kodi ya 30 Elfu kwa mwaka
Na halmashauri nikalipa tsh 10,5000 iviMwaka gani mkuu TRA walikukadiria kodi ya 30 Elfu kwa mwaka
Kwa maana hiyo lesen inatolewa kwa ajil ya biashara nyingne na sio huduma za kifedha moja kwa moja? Lazma uwe na biashara nyingne uliyoplani.Kwanza unatakiwa kuwa na tin namba kutoka TRA na yakulipia sio ya bure, apa utatumia akili kidogo ili wakuchaji pesa kidogo mfano mimi nilienda nikawaambia nimefungua stationary mauzo yangu ni 10000 per day nikawapa nakala ya mkataba wa frem nliopangisha ambayo haikuzid 50,000 kwa mwezi, basi TRA wakanipa form nikaenda kuijaza ikapitia office ya serikali za mtaa nikarudisha nikakadiriwa kodi kama ya 30000 ivi kwa mwaka hatimae nikapewa tin namba ya biashara, next nikaenda halmashauri kufatilia lesen ya biashara, ukienda kwenye halmashaur yako watakwambia nini na nn wanahitaji moja wapo ni iyo tin namba kutoka TRA basi nao ukikamilisha watakufanyia makadirio utalipia baada ya mda kidogo utapewa leseni (ukienda TRA au halmashauri hakikisha umeshajipanga kua biashara gani utaifanya ili kuepuka usumbufu yaan buni ata kwa imagination sio lazima ufungue kwa wakati uo ila vizur zaidi iyo biashara iwe kwenye mipango yako, mfano mm nlibuni tu stationary na saivi nnayo kiukweli lengo la hili ni kupata izo leseni zao tu), ukishapata sasa utaenda office za mitandao unayoka na leseni,tin namba, copy ya kitambulisho, pasport size, kule watakupa form ujaze then watakupa utaratibu mwingine, upande wa voda hawana longo longo wao ni fasta tu na nibure kabisa, ila tigo sasa itategemea na office husika na itachukua mda around 2-5 month. Uo mtiririko kiutendaji ni simple sana ukiwa upo fresh haumalizi ata siku 3, mfano mimi TRA nilimalizana nao kwa siku moja tu.
Ushauri usijaribu kabisa kutumia doc au line iliosajiliwa na mtu mwingine, wakati wa kutumia inakua haina tatizo ila likitokea tatizo lolote ukahitaj msaada wa moja kwa moja kutoka office za mtandao husika utahitajika docmnt zote za usajili na lazima taarifa za iyo line zipelekwe na mhusika nakwambia hivi nikiwa na uzoefu wa kutosha.
Mtaji huu ni kwa mitandao yote au mmoja?Wenyewe hawakupangii mtaji kiasi gani uanze nacho ila niwewe mwenyewe ndio utajipangia uanze namtaji kiasi gani. Kwauzuri kabisa kama upo maeneo mazuri basi kisipungue milioni 2 ila milioni 3 itapendeza zaidi
Kwa maana hiyo lesen inatolewa kwa ajil ya biashara nyingne na sio huduma za kifedha moja kwa moja? Lazma uwe na biashara nyingne uliyoplani.
ulikusudia kuandika bei gani?Na halmashauri nikalipa tsh 10,5000 ivi
105,000ulikusudia kuandika bei gani?
Mitandao yote unapiga maana ujue sio mitandao yote inamzunguko mzurii inategemeana upo wapiMtaji huu ni kwa mitandao yote au mmoja?
Asante ushauri mzuri sanaKwanza unatakiwa kuwa na tin namba kutoka TRA na yakulipia sio ya bure, apa utatumia akili kidogo ili wakuchaji pesa kidogo mfano mimi nilienda nikawaambia nimefungua stationary mauzo yangu ni 10000 per day nikawapa nakala ya mkataba wa frem nliopangisha ambayo haikuzid 50,000 kwa mwezi, basi TRA wakanipa form nikaenda kuijaza ikapitia office ya serikali za mtaa nikarudisha nikakadiriwa kodi kama ya 30000 ivi kwa mwaka hatimae nikapewa tin namba ya biashara, next nikaenda halmashauri kufatilia lesen ya biashara, ukienda kwenye halmashaur yako watakwambia nini na nn wanahitaji moja wapo ni iyo tin namba kutoka TRA basi nao ukikamilisha watakufanyia makadirio utalipia baada ya mda kidogo utapewa leseni (ukienda TRA au halmashauri hakikisha umeshajipanga kua biashara gani utaifanya ili kuepuka usumbufu yaan buni ata kwa imagination sio lazima ufungue kwa wakati uo ila vizur zaidi iyo biashara iwe kwenye mipango yako, mfano mm nlibuni tu stationary na saivi nnayo kiukweli lengo la hili ni kupata izo leseni zao tu), ukishapata sasa utaenda office za mitandao unayoka na leseni,tin namba, copy ya kitambulisho, pasport size, kule watakupa form ujaze then watakupa utaratibu mwingine, upande wa voda hawana longo longo wao ni fasta tu na nibure kabisa, ila tigo sasa itategemea na office husika na itachukua mda around 2-5 month. Uo mtiririko kiutendaji ni simple sana ukiwa upo fresh haumalizi ata siku 3, mfano mimi TRA nilimalizana nao kwa siku moja tu.
Ushauri usijaribu kabisa kutumia doc au line iliosajiliwa na mtu mwingine, wakati wa kutumia inakua haina tatizo ila likitokea tatizo lolote ukahitaj msaada wa moja kwa moja kutoka office za mtandao husika utahitajika docmnt zote za usajili na lazima taarifa za iyo line zipelekwe na mhusika nakwambia hivi nikiwa na uzoefu wa kutosha.
Hi ni elf 10, au laki??Na halmashauri nikalipa tsh 10,5000 ivi