Msaada kwa mwenye uzoefu wa kampuni ya kusafirisha mizigo

Akabi kemanya

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2021
Posts
226
Reaction score
346
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri,

Nielekee kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyo jieleza

Mimi natami kuanzisha kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani ya nchi ila changamoto kubwa kwangu sina uzoefu wa hii kazi kwa mwenye uzoefu tafadhari

Nivitugani vya kuzingatia kabla na baada ya kuanza hii kazi, naami hapa jf nikama bahari nitangulize shukuran🙏🙏🙏
 
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri,
Nielekee kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyo jieleza

mimi natami kuanzisha kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani ya nchi ila changamoto kubwa kwangu sina uzoefu wa hii kazi kwa mwenye uzoefu tafadhari

Nivitugani vya kuzingatia kabla na baada ya kuanza hii kazi, naami hapa jf nikama bahari nitangulize shukuran[emoji120][emoji120][emoji120]
Unamaanisha kuwa transportation agent?
1.Yaani ufungue Ofisi kisha unapokea mizigo ya wateja na kuisafirisha mikoa mbalimbali inakoelekea?
2.Una magari unataka kuingiza sokoni kwa usafirishaji?
Kama ni hiyo ya kwanza hebu fikiria biashara nyingine, hiyo biashara imepoteza sana umaarufu sababu makampuni mengi ama viwanda na maduka makubwa wanafanya delivery kwa wateja mpaka mikoani.
Mfano ukinunua bati wanakuletea mpk ulipo, nondo, cement kadhalika.
Njoo kwenye mabomba, vifaa vya umeme nk wao wa makampuni ndo wanazunguka kutafuta wateja waliko.
 
Nadhani oppomal umeeleza vizuri japo awali ilikuwa biashara ya kujipigia pesa tu.lakini pia uhakika wa magari ya usafirishaji kama siyo yako,hakikisha pia yana bima iliyochangamka ili likitokea lakutokea bima iweze kulipa,mfano agent moja wa Geita aliwahi kuunguliwa na gari lake likiwa linapeleka bidhaa mkoani, gari zima likiwa na mzigo mkubwa, alilazimika kuwalipa wateja wake mali zao na kisha yeye akajiondoa na kumwachia ofisi mdogo wake, so kila biashara ina majanga yake.kiufupi ni biashara nzuri kwa maelezo ya wanaofanya ila kuna mambo muhimu ya kuzingatia hasa muda wa mteja kufikiwa na mzigo wake na mengineyo.
 
Asante na kazi bila changa moto hiyo siyo kazi na haijawahi kuwa kazi

Ninachokijuwa mimi changamoto katika biashara au katika kazi yoyote ile changa moto hizo ndio inatakiwa unazi geuza zinakuwa fulsa
 
Unamaanisha kuwa transportation agent?
1.Yaani ufungue Ofisi kisha unapokea mizigo ya wateja na kuisafirisha mikoa mbalimbali inakoelekea?
2.Una magari unataka kuingiza sokoni kwa usafirishaji?
Kama ni hiyo ya kwanza hebu fikiria biashara nyingine, hiyo biashara imepoteza sana umaarufu sababu makampuni mengi ama viwanda na maduka makubwa wanafanya delivery kwa wateja mpaka mikoani.
Mfano ukinunua bati wanakuletea mpk ulipo, nondo, cement kadhalika.
Njoo kwenye mabomba, vifaa vya umeme nk wao wa makampuni ndo wanazunguka kutafuta wateja waliko.
Hii Biashara mzee Bado Sana demand yake ni kubwa
 
Yeah nadhani demand yake iko mashambani kwa wakulima kwenye kusafirisha mazao kuyaleta mjini.
Ila kwenye kubeba building materials ushindani ni mkubwa na ni pasua kichwa,unakuta madereva wamepaki malori kama ishirini wanangoja mteja mmoja atokee na wenye hardwares nao wana gari zao za kumpelekea delivery mteja.
 
Back
Top Bottom