Akabi kemanya
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 226
- 346
Kiujumla ni good customer service lakini emu tusubiri wanojua waelezee mimi sipo deep sana kwenye hii bishara,upande wa capital na mtaji huko sina uzoefu ila ukiwekeza zaidi kwenye huduma bora utafanikiwa mkuu
1.UAMINIFU
2.BIDHAA ZIFIKE KWA WAKATI
3.GHARAMA RAFIKI
Asante kwa ushauli mkuuupande wa capital na mtaji huko sina uzoefu ila ukiwekeza zaidi kwenye huduma bora utafanikiwa mkuu
1.UAMINIFU
2.BIDHAA ZIFIKE KWA WAKATI
3.GHARAMA RAFIKI
Unamaanisha kuwa transportation agent?Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri,
Nielekee kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyo jieleza
mimi natami kuanzisha kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani ya nchi ila changamoto kubwa kwangu sina uzoefu wa hii kazi kwa mwenye uzoefu tafadhari
Nivitugani vya kuzingatia kabla na baada ya kuanza hii kazi, naami hapa jf nikama bahari nitangulize shukuran[emoji120][emoji120][emoji120]
Asante na kazi bila changa moto hiyo siyo kazi na haijawahi kuwa kaziNadhani oppomal umeeleza vizuri japo awali ilikuwa biashara ya kujipigia pesa tu.lakini pia uhakika wa magari ya usafirishaji kama siyo yako,hakikisha pia yana bima iliyochangamka ili likitokea lakutokea bima iweze kulipa,mfano agent moja wa Geita aliwahi kuunguliwa na gari lake likiwa linapeleka bidhaa mkoani, gari zima likiwa na mzigo mkubwa, alilazimika kuwalipa wateja wake mali zao na kisha yeye akajiondoa na kumwachia ofisi mdogo wake, so kila biashara ina majanga yake.kiufupi ni biashara nzuri kwa maelezo ya wanaofanya ila kuna mambo muhimu ya kuzingatia hasa muda wa mteja kufikiwa na mzigo wake na mengineyo.
Kweli kabisa mkuu.Asante na kazi bila changa moto hiyo siyo kazi na haijawahi kuwa kazi
Ninachokijuwa mimi changamoto katika biashara au katika kazi yoyote ile changa moto hizo ndio inatakiwa unazi geuza zinakuwa fulsa
Hii Biashara mzee Bado Sana demand yake ni kubwaUnamaanisha kuwa transportation agent?
1.Yaani ufungue Ofisi kisha unapokea mizigo ya wateja na kuisafirisha mikoa mbalimbali inakoelekea?
2.Una magari unataka kuingiza sokoni kwa usafirishaji?
Kama ni hiyo ya kwanza hebu fikiria biashara nyingine, hiyo biashara imepoteza sana umaarufu sababu makampuni mengi ama viwanda na maduka makubwa wanafanya delivery kwa wateja mpaka mikoani.
Mfano ukinunua bati wanakuletea mpk ulipo, nondo, cement kadhalika.
Njoo kwenye mabomba, vifaa vya umeme nk wao wa makampuni ndo wanazunguka kutafuta wateja waliko.
Yeah nadhani demand yake iko mashambani kwa wakulima kwenye kusafirisha mazao kuyaleta mjini.Hii Biashara mzee Bado Sana demand yake ni kubwa