Wakuu niliwahi kuwaandikia Wizara ya Mifugo kuhusu muongoza wa Kuingiza Mifugo Nchini hasa Kuku kutoka Nchi Jirani, Sijajibiwa mpaka leo na Kesho, na hiyo ni wizara inayo tumia kodi zetu
so kama kuna anaye fahamu procedure anisaidie make wizara hata ukipiga simu haipokelewi.