Msaada kwa Naye Jua Procedure za Ku import Mifugo kutoka Nchi Jirani

Msaada kwa Naye Jua Procedure za Ku import Mifugo kutoka Nchi Jirani

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Wakuu niliwahi kuwaandikia Wizara ya Mifugo kuhusu muongoza wa Kuingiza Mifugo Nchini hasa Kuku kutoka Nchi Jirani, Sijajibiwa mpaka leo na Kesho, na hiyo ni wizara inayo tumia kodi zetu

so kama kuna anaye fahamu procedure anisaidie make wizara hata ukipiga simu haipokelewi.
 
Back
Top Bottom