MSAADA KWA NDUGU/JAMAA WENYE MATATIZO YA ULEVI (URAIBU).

MSAADA KWA NDUGU/JAMAA WENYE MATATIZO YA ULEVI (URAIBU).

DaveSave

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
440
Reaction score
638
Stay Clean Foundation Tanzania (STCF) ni asasi ya kiraia iliyoanzishwa mwaka 2015 yenye makao yake makuu Arusha, ambayo inajihusisha na kuwasaidia
vijana walioathirika na matumizi ya dawa za kulevya (Substance Abuse) kwa kutoa Elimu katika Shule, Vyuo na Taasisi za Umma na binafsi ya namna ya kukabiliana na janga hili.
Taasisi hii imefanikiwa kusaidia vijana zaidi ya 293 tangu mwaka 2018 katika vituo vyetu vya Mikoa ya Kilimanjaro (Goodwill Recovery Center) na Arusha (Meru Hill
Rehabilitation Center).
Kama una ndugu, jamaa au rafiki amabaye anahitaji msaada wa kuondokana na Uraibu (Addiction) iwe anatumia aidha Pombe,Bangi,Mirungi,Cocaine,Heroin na hata vidonge (Pills Addict) unaweza kuwasiliana na namba zifuatazo kwa maelekezo au msaada zaidi.
0784790213 au 0746402220.

PAMOJA TUNAJENGA TAIFA 🦾
 
Back
Top Bottom