komanyahenry
JF-Expert Member
- Sep 15, 2017
- 903
- 1,361
Wadau, nimepoteza kitambulisho changu cha utaifi, nimejaribu kufuatilia kwa ajili ya kupata kingine ila process yake ni ndefu na mm nakiitaji haraka kwa ajili ya kubadilisha passport kwa ajili ya safari ninayotarajia mwezi Agost. Nimejaribu ku download nakala ya kitambulisho online lakini inanigomea. Msaada tafadhariView attachment 1133326View attachment 1133327
Dah inaboa sana yaani,hela yako wamekula halaf bado wanaleta maringo.Wengine watatupa majibu zaidi, ila mmi nilipotezaga mwaka Jana nikaenda nida, wakasema nifike police kwa kupata loss report, nikakamilisha then kurudi nida na kulipa tsh 20000, toka mwez Wa pili napigwa kalenda sijapata Id,
Dah inaboa sana yaani,hela yako wamekula halaf bado wanaleta maringo.Wengine watatupa majibu zaidi, ila mmi nilipotezaga mwaka Jana nikaenda nida, wakasema nifike police kwa kupata loss report, nikakamilisha then kurudi nida na kulipa tsh 20000, toka mwez Wa pili napigwa kalenda sijapata Id,
Mkuu bonyeza hiyo link ya back to safety itakuletea ki-form hapo kinachokuelekeza uingize number yako ya kitambulisho cha NIDA. km number yako umeisahau piga number*152*00# chagua 3 kisha 2. Kama unayo namba na bado unashindwa kukidownload njoo pm unilipe hela nikufanyie sasa hivi nakutumia WhatsApp.Wadau, nimepoteza kitambulisho changu cha utaifi, nimejaribu kufuatilia kwa ajili ya kupata kingine ila process yake ni ndefu na mm nakiitaji haraka kwa ajili ya kubadilisha passport kwa ajili ya safari ninayotarajia mwezi Agost. Nimejaribu ku download nakala ya kitambulisho online lakini inanigomea. Msaada tafadhariView attachment 1133326View attachment 1133327
Acha utapeli wa kuibia watu hiyo kazi ni bure hata mimi naweza kumfanyiaMkuu bonyeza hiyo link ya back to safety itakuletea ki-form hapo kinachokuelekeza uingize number yako ya kitambulisho cha NIDA. km number yako umeisahau piga number*152*00# chagua 3 kisha 2. Kama unayo namba na bado unashindwa kukidownload njoo pm unilipe hela nikufanyie sasa hivi nakutumia WhatsApp.