MSAADA KWA NIDA

MSAADA KWA NIDA

komanyahenry

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2017
Posts
903
Reaction score
1,361
Wadau, nimepoteza kitambulisho changu cha utaifi, nimejaribu kufuatilia kwa ajili ya kupata kingine ila process yake ni ndefu na mm nakiitaji haraka kwa ajili ya kubadilisha passport kwa ajili ya safari ninayotarajia mwezi Agost. Nimejaribu ku download nakala ya kitambulisho online lakini inanigomea. Msaada tafadhari
Screenshot_20190621-124304~2.jpeg
Screenshot_20190621-121920.jpeg
 
Wengine watatupa majibu zaidi, ila mmi nilipotezaga mwaka Jana nikaenda nida, wakasema nifike police kwa kupata loss report, nikakamilisha then kurudi nida na kulipa tsh 20000, toka mwez Wa pili napigwa kalenda sijapata Id,
Wadau, nimepoteza kitambulisho changu cha utaifi, nimejaribu kufuatilia kwa ajili ya kupata kingine ila process yake ni ndefu na mm nakiitaji haraka kwa ajili ya kubadilisha passport kwa ajili ya safari ninayotarajia mwezi Agost. Nimejaribu ku download nakala ya kitambulisho online lakini inanigomea. Msaada tafadhariView attachment 1133326View attachment 1133327
 
Dah inaboa sana yaani,hela yako wamekula halaf bado wanaleta maringo.
Mimi mwenyewe changu kimenipotea Sasa ndio nawaza hapa nitaanzaje kukifuatilia kingine.
 
Mkuu bonyeza hiyo link ya back to safety itakuletea ki-form hapo kinachokuelekeza uingize number yako ya kitambulisho cha NIDA. km number yako umeisahau piga number*152*00# chagua 3 kisha 2. Kama unayo namba na bado unashindwa kukidownload njoo pm unilipe hela nikufanyie sasa hivi nakutumia WhatsApp.
 
Acha utapeli wa kuibia watu hiyo kazi ni bure hata mimi naweza kumfanyia
 
Nashukuru sana, kwenye simu ndio ilikuwa inanipa changamoto ila baada ya kujaribu kwenye PC nilifanikiwa kupata nakala ya kitambulisho changu nika print kwa ajili ya maombi ya kubadilisha hati ya kusafiria
 
Back
Top Bottom