Msaada kwa Nikki Mbishi

Pumzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Posts
321
Reaction score
55
Mwenye uwezo wa kumsaidia kimawazo Nikki Mbishi amsaidie naona sasa huyu kijana mwenzangu anapagawa.

Majuzi kati kwa maamuzi yake mwenywe bila shuruti alitangaza kuacha muziki,cha ajabu leo katoa nyimbo yake kule mkito halafu anaanza kulalamika inakuaje mtu una followers 5000 instagram na wanaonunua nyimbo wako 100.

Sijajua analalamika nini na muziki kaacha siku nyingi. Mimi nafikirI huyu kijana ana stress sana na muziki hajaacha huyu.
 
Anadhira kufanya mziki alizan kuna mtu atambembeleza, huyu ana ubishi wa kikekike
 

Nilisema Niki mbishi awez kua mwanamuziki na ajui kuitumia hip hop
 
Huyo jamaa alisema anaacha music coz hauna maslahi akaongeza kuwa nyimbo zake mpya atazitoa bure, nadhani hapo alikua anajustify tu
 
Huyo jamaa alisema anaacha music coz hauna maslahi akaongeza kuwa nyimbo zake mpya atazitoa bure, nadhani hapo alikua anajustify tu

na mm najua hvyo bt kapeleka pale mkito na analaumu watu kwanin hawaendi kudownlod
 
Naona washavurugana na mdundo kwenye malipo...
 

Attachments

  • 1422421995761.jpg
    46.2 KB · Views: 315
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…