snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,437
- 2,043
Mwenye uwezo wa kumsaidia kimawazo Nikki Mbishi amsaidie naona sasa huyu kijana mwenzangu anapagawa.
Majuzi kati kwa maamuzi yake mwenywe bila shuruti alitangaza kuacha muziki,cha ajabu leo katoa nyimbo yake kule mkito halafu anaanza kulalamika inakuaje mtu una followers 5000 instagram na wanaonunua nyimbo wako 100.
Sijajua analalamika nini na muziki kaacha siku nyingi. Mimi nafikirI huyu kijana ana stress sana na muziki hajaacha huyu.
Inaezekana ulikurupuka au haukukurupuka..
Ila binafsi nadhani umekurupuka, mana mbishi alitoa kauli kwamba ataachia ngoma zake zote free ambazo bado hakuzitoa na ambazo alizitoa... Hiyo ngoma nadhan aliishaifanya ata kabla yakutangaza kuacha muzik.
They talk much but don't know a thing.