Msaada kwa Nikki Mbishi

Inaezekana ulikurupuka au haukukurupuka..
Ila binafsi nadhani umekurupuka, mana mbishi alitoa kauli kwamba ataachia ngoma zake zote free ambazo bado hakuzitoa na ambazo alizitoa... Hiyo ngoma nadhan aliishaifanya ata kabla yakutangaza kuacha muzik.

They talk much but don't know a thing.
 
Kwa nini hawafanyi muziki unaotakiwa na soko kisha soko liliwakataa wanatoa lawama? Mimi mwanzoni nilifikiri wanafanya kwa ajili ya mitaa (watu wao).
 
acha kuzungumzia usiyoyajua kijana muziki huujui.na Nikki sio cheap kama unavyojihadaa
 
Kwa nini hawafanyi muziki unaotakiwa na soko kisha soko liliwakataa wanatoa lawama? Mimi mwanzoni nilifikiri wanafanya kwa ajili ya mitaa (watu wao).

shangaa na ww
 
mm nafikir unajua kumbe na ww unadhania? hzo nymbo si atoe bure sasa kwanini anapeleka mkito halafu anaanza kulalamikia watu....nyie mnaojifanya shabik zake ndio mna mlostisha

Umenielewa nilicho maanisha ila now you're going out of topic, i have no time to argue with you.

Btw Mimi sio shabiki wa muziki..
 
Umenielewa nilicho maanisha ila now you're going out of topic, i have no time to argue with you.

Btw Mimi sio shabiki wa muziki..

SAME to me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…