Babu, nadhani basic economics principle ya demand and supply inaapply hapa, kwamba dealers wa volvo wako wachache kwa kuwa demand ya hizo parts ni chache kwani idadi ya volvo trucks nchini ni ndogo ukilinganisha na idadi ya scania trucks. On the other hand pia huenda hiyo demand kubwa ya parts za scania imesababisha uzalishaji mkubwa counterfeit parts kutoka kwa wale ndugu zetu na hizi mara nyingi huwa bei poa tu hivyo kila mmmoja anaweza.
Sasa kwanini Scania na si volvo? Mimi nadhani ni belief tu, watanzania hawako flexible kihivyo, it takes time wao kujiadjust kwenye mazingira/vitu vipya. Nalinganisha hili na issue ya gear box, manual na automatic. Nakumbuka ilichukua muda sana kwa watanzania kuzikubali automatic gear boxes, ilikuwa ukindesha gari automatic unaonekana ni kituko kabisa lakini sasa hivi hawataki tena manual gear box. Mimi niko kwenye transport pia na mwanzoni mwa mwaka huu nilinunua volvo moja FM 12. Toka nimeinunua hii gari ikitoka safari ni kumwaga oil tu inaondoka tena wakati scania kila zikirudi mambo kibao ya kufanya kabla haijasafiri tena. Anyway, huenda kuna factors nyingi za kuziangalia lakini mm nahamia volvo na Mungu akipenda naongeza nyingine soon.