Msaada kwa pgm kwenda geology--udom.

Msaada kwa pgm kwenda geology--udom.

NingaR

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2012
Posts
2,759
Reaction score
591
Wana JF kama mtu kaua six akichukua PGM. na kupata
GS-S
PHY-E
GEOG-D
MATH-D YAANI III-13
LAKINU o-level hakupiga chemistry. je anaweza kuchukua coz kama GEOLOGY, PETROLEUM ENGINEERING, MINING ENGINEERING AND OTHER RELATED pale UDOM??
msaada wenu tafadhari.
 
watamchukua coz wanaangalia sana physics na mathematics,ingawa kuna watu wamesoma CBG na wanasoma geology UDOM
 
Mbona ud wana mishart ka nn et chemistry lazima o-level uwe na c.
 
na qualifications inakuaje
 
Anaweza kuchukua kwa sababu ana physics and Maths, Mining Engineering na Engineering geology muhimu ni mathematics.
 
Nimeangalia ya 2009/2010 hawajazungumzia qualifications ya hz kozi, labda ajaribu kutafuta ya 2011/2012

mkuu mbona sipati hiyo ya 2011/2012
 
Jamani mbona udsm wanataka chemistry-c kwa o-level
 
Kaangalie kwenye web ya TCU Students guide book..Hy hapo ya 9/10 ninayo hard copy yk

Guide book 2012/2013 kwa geology UDOM ni
(Three Principal passes in Physics, Chemistry, Mathematics or Geography) swali linakuja je chemistry o-level hawa jali??? coz me sikupiga paper ya chemistry
 
prospectus za UDOM haizungumzii entry qualification, TRY TCU guide book
 
WANASEMA (Three Principal passes in Physics, Chemistry,Mathematics or Geography) sasa kwa mtu kama mimi sikupiga chemistry O-level haina Effects???
 
Back
Top Bottom