Msaada kwa sheria ya mwanafunzi wa kike..

Msaada kwa sheria ya mwanafunzi wa kike..

Nywilla

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
379
Reaction score
349
Kama heading ilivyo, kwa msichana aliyemaliza form 4, na kusubiri matokeo yake anaruhusiwa kuolewa kabla ya matokeo kutoka?? Je, sheria inasemaje?.
 
waziri wa katiba na sheria,alisema kuwa hata akiwa na miaka zaidi ya 18 bado anasoma hadi level ya kidato cha sita,huyo atahesabiwa ni mwanafunzi na ukimpatia mimba utakwenda jela.
 
Kweli mnatumia sheria zilizoandikwa au za mdomoni tu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Pia umri wako lazima uzingatiwe

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
waziri wa katiba na sheria,alisema kuwa hata akiwa na miaka zaidi ya 18 bado anasoma hadi level ya kidato cha sita,huyo atahesabiwa ni mwanafunzi na ukimpatia mimba utakwenda jela.
Hilo ni tamko sio sheria na wala haipo kwenye sheria

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom