Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanafunzi au mtoto? Asiyefikisha 18yrs?[emoji23] [emoji23] [emoji23] Miaka 30 jela kwa mwanafunzi!!.
sheria inasema mtoto, kama ni mwanafunzi halafu yuko above 18 wewe oa tuMaana ukimuoa au kumpa mimba mwanafunzi unapimiwa 30yrs jela sheria inasema!
sheria inasema mtoto, kama ni mwanafunzi halafu yuko above 18 wewe oa tuMaana ukimuoa au kumpa mimba mwanafunzi unapimiwa 30yrs jela sheria inasema!
Umeona kumbe na weweKweli mnatumia sheria zilizoandikwa au za mdomoni tu
Post sent using JamiiForums mobile app
Bwana mkubwa acha utani.sheria inasema mtoto, kama ni mwanafunzi halafu yuko above 18 wewe oa tu
Hilo ni tamko sio sheria na wala haipo kwenye sheriawaziri wa katiba na sheria,alisema kuwa hata akiwa na miaka zaidi ya 18 bado anasoma hadi level ya kidato cha sita,huyo atahesabiwa ni mwanafunzi na ukimpatia mimba utakwenda jela.
Kumbuka sio lazima kusoma mpaka kidato cha sitaMwanafunzi ni Mwanafunzi tu Hata kama ana miaka 25, ilihali hajavuka kidato cha sita, 30yrs Jela
Romaxtim
Sheria inasemaje mkuu? Tuwekee hapa,tafadhaliHilo ni tamko sio sheria na wala haipo kwenye sheria
Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app