Ukweli mchungu sana huo!Haiwezekani. Hata postgraduate na masters na PhD upate gpa za 5. Kama undergraduate ulizingua hukufikisha walau 3.8 ndio basi tena.
Mimi nikipambana udsm hapo nikaishia 3.5 ndoto zikafa. Ungekuwa walau na 3.5 and above ungepambana kwenye hivi vyuo vya kati mfano ifm cbe tia etc ungeweza kupata .
Lakini wewe una lower second class nikitu ambacho hakiwezekani kabisa
Aisee kiukweli inaumiza sana.Haiwezekani. Hata postgraduate na masters na PhD upate gpa za 5. Kama undergraduate ulizingua hukufikisha walau 3.8 ndio basi tena.
Mimi nikipambana udsm hapo nikaishia 3.5 ndoto zikafa. Ungekuwa walau na 3.5 and above ungepambana kwenye hivi vyuo vya kati mfano ifm cbe tia etc ungeweza kupata .
Lakini wewe una lower second class nikitu ambacho hakiwezekani kabisa
Komaa kabisa mkuu, utafanikiwa !Mpaka hapa sina namna aisee, wacha nione mwakani naweza rudi undergraduate tena nikiwa na
Mpaka hapa sina namna aisee, wacha nione mwakani naweza rudi undergraduate tena nikiwa na
Kama umri unaruhusu rudi shule fasta.Mpaka hapa sina namna aisee, wacha nione mwakani naweza rudi undergraduate tena nikiwa na
Hii ilitakuwa kuwa angalau 3.8, ndiyo kigezo kikuuUndergraduate nilisoma Human Resources Management (GPA 3.2)
Nimeishia hapa. Haitowezekana kuwa Assistant lecturer. Pia kozi ni kachumbari inakua ngumu kuona somo gani utafundisha.Undergraduate nilisoma Human Resources Management (GPA 3.2)
Si kweli, ndio maana wapo wenye PhD wengi hawafundishi kwa sababu GPA ya undergraduate haina viwangoNiliskia ukiwa na PhD inafunika GPA ya undergraduate
Kiingereza cha juhudi binafsi hiki. Hongera sana.Another guy scored 4.2 from sokoine (bachelor), went to work manually in the US.....3.2 to be a lecture!!! Too low
Ni kweli kabisa, kuna jamaa nadhani ni Dokta sahivi, kila iitwapo leo alikua anapambana kuandika andika machapiso.Ukifanikiwa kisha ukawa unaandika kwa kutoa machapisho, vitabu, tafiti n.k utakula mema ya dunia, utapata mialiko kwenye vyuo vikuu mbalimbali huko duniani. Muhimu tu usiingie kwenye siasa tu.