Msaada: Kwa siku nina access na internet almost masaa 4, nisaidie jinsi ya kutumia internet kuingiza kipato

Msaada: Kwa siku nina access na internet almost masaa 4, nisaidie jinsi ya kutumia internet kuingiza kipato

Bubolwa Chura

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
300
Reaction score
560
Wakuu Igweeeee!

Kwa muda kama wa miezi miwili hivi niko sehemu nimejishikiza. Baada ya muda wa kazi naona nina muda mwingi ambao nina access na internet ambayo nahisi nikipata kitu constructive inaweza kunisaidia kuniingizia kipato. Ungekuwa wewe ungeitumiaje?

Au fikiria hivi, umefungiwa ndani ya chumba na umepewa laptop imbayo iko full net 24 hours. Utaitumiaje kuingiza pesa?

Sio mwandishi mzuri ila naamini mmenielewa. Kama una idea yeyote nisaidie please, sitaki niwe naishia kuingia JamiiForums pekee na Facebook.

Nawasilisha.
 
Wewe ni mtaalamu wa fani gani?What are you good at?Can people pay you for that?Can you pay to learn how to make money using what you are good at?
 
Back
Top Bottom