Msaada: Kwa siku nina access na internet almost masaa 4, nisaidie jinsi ya kutumia internet kuingiza kipato

Mkuu binafsi nafanya online business. Nakuwekea yote ninayoyafanya kama utaweza jiongeza ukajifunza hata kimoja au kuhitaji chochote tunaweza wasiliana.

NB: Jitiada zako katika kuwa mbunifu upande wa kufanya matangazo ndiyo utakaokuletea wateja wengi zaidi.

Muhimu kufuatilia na kuwa na taarifa za kutosha ya shughuli husika, usije anza kufanya mteja akiuliza swali uanze kubabaika.


Naendesha maisha kwa hizo shughuli nikiwa na computer yangu na Internet, mpaka sasa ofisi ipo ila nilianzia ndani nikiwa ghetto.

Wish you all the best

Sent from my E2333 using JamiiForums mobile app
 
Sema nini ma GB pekee yake hayatoshi inakuhitaji uwe na mtaji kidogo na input devices otherwise utaishia kusomea tu.
 
Mkuu tuongee hapo [emoji867] kwenye logo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…