Aina ya mafuta sasa nimeshapaka mengi naona mwendo ni ule ule,jarb kubadili mafuta mkuu
duuh pole mkuuAina ya mafuta sasa nimeshapaka mengi naona mwendo ni ule ule,
Naweza kufanya hivyo ila kuna muda midomo inachanika na kupata vidonda , maana inapauka sana sasa ndo najikuta narudi tena kule kuleAcha kujipaka mafuta usoni.
Tumia lipbalmNaweza kufanya hivyo ila kuna muda midomo inachanika na kupata vidonda , maana inapauka sana sasa ndo najikuta narudi tena kule kule
hivi vyakula pia haiwez kua inachangia hiyo hali?Kama usipopaka usoni hakuna changamoto basi acha kupaka. Mdomoni, ili kuleta unyevu unyevu na kuzuia midomo kupasuka, basi tumia Lip Balm au moisturizer.
Hizo hazitakuletea chunusi. Usiogope dhana pia ya kuwa wanawake ndiyo hupaka.
Kumbuka, siyo lipstick. Ni lip BALM. Yenyewe haiachi rangi, ni clear. Pakaa kisha utakapoona tena lips zako zinaanza kukauka, unapaka tena. Kumbuka pia kunywa maji mengi ili kuleta unyevu mdomoni.
Kwan mafuta huwa unapaka hadi mdomoni?Naweza kufanya hivyo ila kuna muda midomo inachanika na kupata vidonda , maana inapauka sana sasa ndo najikuta narudi tena kule kule
Mkuu kwenye upande wa lips tumia asali na turmeric (manjano) hizo manjano zipo za aina mbili ukifika mwambie nataka ile ya vipodozi sio ya kupikia mchuzi. Changa asali na manjano in ratio ya 1:2 yaani kijiko kimoja cha manjano kwa vijiko viwili vya asali au zaidi ya hapo kwa kuzingatia ratio hyo paka kwenye lips ukitaka kulala usiku (lazima) na asubuhi ukienda kwenye shughuli zako.Habari wadau kwema, niende moja kwa moja kwenye mada, ipo hivi naomba kujua ni mafuta gani? Yatanifaa kwa mtu kama mimi mwenye uso wenye mafuta,
Chunusi zinanisumbua kila nikipaka mafuta usoni, basi zitatoka balaa zinavimba, nisipopaka mafuta uso unarudi vizuri tu, ila shida inakuja kwenye mdomo unapauka kweli na kutoka magamba,
Inabidi nirudi tena kupaka mdomo, napo inakuwa sawa ila chunusi inakuja na kwenye mdomo yani, mnisaidie mafuta yatakayoukubali uso, ni mimi kijana wa miaka 27 tu
Na sabuni tumia dove ile ya tango itakusaidia pia mkuuAina ya mafuta sasa nimeshapaka mengi naona mwendo ni ule ule,
Miguu pia inapasuka nikupe dawa yake.Naweza kufanya hivyo ila kuna muda midomo inachanika na kupata vidonda , maana inapauka sana sasa ndo najikuta narudi tena kule kule