Msaada kwa uso wenye mafuta

Msaada kwa uso wenye mafuta

Mi sipaki mafuta usoni sababu nina mafuta ya kutosha...

Nang'aaa [emoji1787][emoji1787]

Ila Sina chunusi ni msoft...

Nakushauri usipake mafuta usoni...

Mdomoni paka vaceline ya mdomo...
Mkuu
Tafadhali Picture Angalau Nione Yaliyomo Yamo
"Usoft "
 
Back
Top Bottom