R Ren g Member Joined Mar 27, 2013 Posts 18 Reaction score 1 Jun 26, 2013 #1 Nina tumiwa msg za vitisho kwa namba nisio ifahamu,nimetoa tarifa polis wamenipa rb,lakn kuitambua namba pols wanadai laki tatu ili waende dar kuulizia namba ni ya nan? Nichukue hatua gani kisheria? Nipo shinyanga
Nina tumiwa msg za vitisho kwa namba nisio ifahamu,nimetoa tarifa polis wamenipa rb,lakn kuitambua namba pols wanadai laki tatu ili waende dar kuulizia namba ni ya nan? Nichukue hatua gani kisheria? Nipo shinyanga
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jun 26, 2013 #2 Kwanza polisi ni wezi hiyo laki tatu unaibiwa ngoja wanasheria waje kukusaidia hapa
mwanyolataa Senior Member Joined Nov 25, 2012 Posts 114 Reaction score 43 Jun 26, 2013 #3 Uongo usiwape ila nenda kwenye mtandao husika watakupa msaada zaidi wao wana kitengo cha usalama
Lyamber JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 11,716 Reaction score 18,828 Jun 30, 2013 #4 mwanyolataa said: Uongo usiwape ila nenda kwenye mtandao husika watakupa msaada zaidi wao wana kitengo cha usalama Click to expand... akienda huko watamdirect polisi tena daahh..bongo bureaucracy nyingi mpaka kero..!!
mwanyolataa said: Uongo usiwape ila nenda kwenye mtandao husika watakupa msaada zaidi wao wana kitengo cha usalama Click to expand... akienda huko watamdirect polisi tena daahh..bongo bureaucracy nyingi mpaka kero..!!